Hongera Kamanda Mbowe!!

Hongera Kamanda Mbowe!!

kula kwa tindo

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2011
Posts
1,330
Reaction score
324
Habari wana JF..
Leo nimeona si vibaya kupitia Jukwaa hili,nikizitoa Pongezi zangu kwa Mwenyekiti aliyepata Mafanikio makubwa (Pengine kuliko wenyeviti woote wa Vyama vya Upinzani)
Katika uongozi wake..
Pongezi zangu nazituma kwako kwa Ukomavu wako na uvumilivu wako mkuu ..
Umerushiwa makombira Makubwa sana,lakini haukujishughulisha kujibu.
Hii inaonyesha ni kwakiasi gani ulivyo na Hekima,Busara na Ukomavu wa hali ya juu katika medani hii ya Siasa,Hasa Siasa za Tanzania yetu,zilizojaa Chuki,Uhasama na kila aina ya Vituko..
Hongera Kamanda..
Wana CDM tunaimani na wewe.
Mungu Ibariki CDM..
 
Pongezi hizo bora ungempatia Mwigulu Nchemba kwa kuteuliwa kuwa Naibu Waziri, kuliko kung'ang'ania kumsifu mtu ambaye hastahili sifa hizo hata kidogo; Kwanza yuko kimya kwa sababu Elimu yake ni ndogo hivyo hawezi kupata la kujibu vinginevyo atatukana na kuishia Mahakamani, pili anamadhambi makubwa sana kama vile kununua majumba makubwa Dubai na Marekani kwa fedha za Ruzuku yaani fedha za Chama, pia kwenda kutumia fedha ya walala hoi kustarehe na bi mdogo huku yeye ni cristian. Jamani Muogopeni Mungu.
 
Wengi bado wako nyuma sana wakiwaza elimu ni vyeti/makaratasi.mbona tumekuwa na viongozi wengi wanaoitwa dr.prof nk na hakuna walichoweza kufanya katika secta zao na hata kubadilisha nnchi hii.mfano kilaza magembe na wengine wamefanya nini.elimu ya kidato cha nne inatosha kuongoza watu na kuwaletea maendeleo kwani kagame ana elimu gani na ni raisi.wapo viongozi maprofesa kama kapuya alifanya nini ukilinganisha na mbowe kama si mambo ya aibu.acheni donge mbowe ni kifaa hata waziri mkuu aliwahi kukiri kuwa ni moja ya watu anayeogopa maswali yake.
 
Pongezi hizo bora ungempatia Mwigulu Nchemba kwa kuteuliwa kuwa Naibu Waziri, kuliko kung'ang'ania kumsifu mtu ambaye hastahili sifa hizo hata kidogo; Kwanza yuko kimya kwa sababu Elimu yake ni ndogo hivyo hawezi kupata la kujibu vinginevyo atatukana na kuishia Mahakamani, pili anamadhambi makubwa sana kama vile kununua majumba makubwa Dubai na Marekani kwa fedha za Ruzuku yaani fedha za Chama, pia kwenda kutumia fedha ya walala hoi kustarehe na bi mdogo huku yeye ni cristian. Jamani Muogopeni Mungu.

Hata Mungu humwogopi? Unayoyaamini wewe hata shetani anakushangaa jinsi akili yako imetekwa. Elimu ya kuropoka haijengi ila inabomoa.
 
Ni kweli anahitaji pongezi za dhati kabisa kwa kuweza kuficha ufisadi anaoendelea kuufanya ndani ta CHADEMA na pia wizi wa pesa za watanzania kupitia mkono wa kada Rostam Aziz ambaye kwa njia ya kisanii, Mbowe hupanda majukwaani mchana na kumuita fisadi lakini usiku huenda nyumbani kwa Rostam Aziz kupewa mshahara wake.

Kufanya kazi ya 'double agent' lazima uwe na uwezo kama wa Mbowe.

He's having double income and getting richer every second kwa maana nyingine, anajilipa mamilioni CHADEMA halafu anaenda tena kulipwa mamilioni ta pesa na Rostam Aziz.

He's smart, he's political malefactor.
 
Pongezi hizo bora ungempatia Mwigulu Nchemba kwa kuteuliwa kuwa Naibu Waziri, kuliko kung'ang'ania kumsifu mtu ambaye hastahili sifa hizo hata kidogo; Kwanza yuko kimya kwa sababu Elimu yake ni ndogo hivyo hawezi kupata la kujibu vinginevyo atatukana na kuishia Mahakamani, pili anamadhambi makubwa sana kama vile kununua majumba makubwa Dubai na Marekani kwa fedha za Ruzuku yaani fedha za Chama, pia kwenda kutumia fedha ya walala hoi kustarehe na bi mdogo huku yeye ni cristian. Jamani Muogopeni Mungu.

Hivi ulishawahi kufanya japo kajiupelelezi wako kuhusu Serikali hii inavyofuja Mahela ya kodi za Walalahoi!?
Unafahamu kua kuna fungu la Pesa hupelekwa Hazina special kwa jina Fungu la Maafa!?
Maafa mangapi yanatokea hapa TZ,na serikali inaomba Walala hoi tuchangishane kusaidia wahanga!? Fikiri ukitumia Ubongo sio Ma------!!!
 
Ni kweli anahitaji pongezi za dhati kabisa kwa kuweza kuficha ufisadi anaoendelea kuufanya ndani ta CHADEMA na pia wizi wa pesa za watanzania kupitia mkono wa kada Rostam Aziz ambaye kwa njia ya kisanii, Mbowe hupanda majukwaani mchana na kumuita fisadi lakini usiku huenda nyumbani kwa Rostam Aziz kupewa mshahara wake.

Kufanya kazi ya 'double agent' lazima uwe na uwezo kama wa Mbowe.

He's having double income and getting richer every second kwa maana nyingine, anajilipa mamilioni CHADEMA halafu anaenda tena kulipwa mamilioni ta pesa na Rostam Aziz.

He's smart, he's political malefactor.

100% acha nikupe kwa Ufinyu wako wa Mawazo..
 
Pongezi hizo bora ungempatia Mwigulu Nchemba kwa kuteuliwa kuwa Naibu Waziri, kuliko kung'ang'ania kumsifu mtu ambaye hastahili sifa hizo hata kidogo; Kwanza yuko kimya kwa sababu Elimu yake ni ndogo hivyo hawezi kupata la kujibu vinginevyo atatukana na kuishia Mahakamani, pili anamadhambi makubwa sana kama vile kununua majumba makubwa Dubai na Marekani kwa fedha za Ruzuku yaani fedha za Chama, pia kwenda kutumia fedha ya walala hoi kustarehe na bi mdogo huku yeye ni cristian. Jamani Muogopeni Mungu.

wakati mwigulu akinywa uji wa chumvi huko shuleni, mbowe alikuwa ameshafungua kampuni na ana watu zaidi ya mia sitta ambao kula na kulala kwao na familia zao zinamtegemea yeye. mwigulu toka apate hiyo degree yake ameshaajiri watu wangapi ?? amefanya nini chenye impact siyo kwy jamii yake au familia yake ni mtu maskini tu labda hivyo vyeo vinakudanganya siku vikiondoka utamuona anatembea kwa miguu kama wale wabunge waliostaafu wakaenda kwa spika wanaomba wapewe kiinua mgongo.
 
Naona ccm wamevamia huku ngoja tuwaachie waendelee kuchangia sie turudi site tukamalizie CDM ni msingi

Alutacontinua!

Mkuu Kunya anye Kuku,Akinya Bata ...........!!
Hamna kuwakimbia hawa!!
 
Magamba yakisikia hilo jina yanagwayagwaya,wakisikia Dk Slaa ni pyuuuuu!Na sasa MAKAMANDA wa kweli wameongezeka wapo akina Lema,Mnyika,baba lao Lissu,Vicent,Msigwa,Mdee na wengine Kibao ambao magamba wakiwasikia pressure zawapanda na kushuka hata msosi haushuki."WATAFIA NJE WENGI".
 
Mbowe sio mwadilifu kwani amewageuza wabunge wa viti maalumu kuwa vimada wake
 
kamanda mbowe anastahili kupongezwa na wazalendo wote wa nchi hii isippokuwa wale waganga njaa wa buk7 ambao wao njaa zimewafanya kuwa watumwa wa majangili na wauza unga!
 
mbowe ni kamanda kweli, anakula luzuku zote za chama na bado anaambulia pongez, anakiuzia chama sklepa za magar bado pongez tu, anakula starehe na na dadaz kwa expenses ya fedha za selikar ndo kwanza watu wanasema huleeee! Kweli limbwata mbowe alilowalisha wana cdm ni noma
 
Ni kweli anahitaji pongezi za dhati kabisa kwa kuweza kuficha ufisadi anaoendelea kuufanya ndani ta CHADEMA na pia wizi wa pesa za watanzania kupitia mkono wa kada Rostam Aziz ambaye kwa njia ya kisanii, Mbowe hupanda majukwaani mchana na kumuita fisadi lakini usiku huenda nyumbani kwa Rostam Aziz kupewa mshahara wake.

Kufanya kazi ya 'double agent' lazima uwe na uwezo kama wa Mbowe.

He's having double income and getting richer every second kwa maana nyingine, anajilipa mamilioni CHADEMA halafu anaenda tena kulipwa mamilioni ta pesa na Rostam Aziz.

He's smart, he's political malefactor.

mkuu MwanaDiwani
mleta hoja ana pongezi za kweli.... ni kiongozi shupavu kwa kutoroshea watu dubai....kutafuta mapato ya chama bila aibu....kutunza na kudumisha ukabila zaidi sana kulea wavuta bangi wazinzi na wauwaji
 
Last edited by a moderator:
kamanda mbowe anastahili kupongezwa na wazalendo wote wa nchi hii isippokuwa wale waganga njaa wa buk7 ambao wao njaa zimewafanya kuwa watumwa wa majangili na wauza unga!

ha ha ha duuh inahitaji ujasiri wa simba kutetea uovu....anatafuna ruzuku bila aibu na bila kukugawia hata mia then unamtetea?
 
Back
Top Bottom