Hongera Kagame - ‘made in Rwanda’ phones

Hehehe!! Nilijua hmtakawia kupata maumivu, ila poleni zenu Watanzania, haya mataifa madogo yatazidi kuwafunika miaka yote maana nyie mivivu wa kutupwa.
Hiyo Rwanda imfunike Tz kwa lipi!??
Kwa hizo assembled goods??
Asa tuone hilo soko litapatikana wapi hapa Africa yani mchina alete Xiamo na Huawei nikanunue sim assembled in Rwanda???
Rwanda bado sana wana safari ndefu kinyamee.
 
Soko ni nyie nyie tu maana kawaida yenu hata sindano huwa mnaagiza... Hadi raha mlivyo wengi, shamba la bibi.
 
Mbona hata hapa Tanzania mzee mengi kama sikosei alianzisha kitu kama hicho cha kuzalisha Simu
African hakuna kiwanda kinachotengeza simu Bali Ni kuassmble tu kama ilivyokuwa tamko miaka hyo magar ya scania yalikuwa Yana unanganishwa pale

Mlolongo wa simu una mambo mengi Sana hv kununua tu silcon si bajet ya rwanda ya miaka kadhaa huna ops zako bado Kama kuunganisha hapo fresh waendelee tu
 
Soko ni nyie nyie tu maana kawaida yenu hata sindano huwa mnaagiza... Hadi raha mlivyo wengi, shamba la bibi.
Unasikitisha.
VIFAA TIBA TUNATENGENEZA WENYEWE LABDA NIKUELEZE.
VIFAA TIBA VINAVYOAGIZWA NI VILE VIKUBWA KM X-RAY MACHINES N.K N.K.
ILA SINDANO TUSITENGENEZE??
UTAKUA UNA MATATIZO BINAFSI MAN.
TUTAAGIZA ILA SIO KWA RWANDA MAVICHWA BOX.
YANI MTU NA AKILI ZAKE TIMAMU AACHE MADE IN CHINA ACHUKUE ASSEMBLED IN RWANDA!!!
 
Sio wewe unaagiza, huna jeuri hiyo, vinaagizwa na wenzako wenye hela, huwa mnachekesha sana nyie walalahoi wa humu JF mnavyopenda kujipiga kifua mkitumia neno 'sisi', ilhali wenzenu wanaojua biashara wakiendelea kufanya yao bila chuki.
 
Hunijui sikujui usigusie masuala yangu binafsi mm sio km ww umepanga mm baba mwenye nyumba nyang'au ww.
Hapa tunaizungumzia Tz kama Tz sindano inatengeneza vinavyoagizwa ni vile visivyoundwa hapa.
Hata ninyi huwa mnapojitamba na ma estates ilhali hammiliki mmepanga tu pale mwadaiwa kodi kila mwezi.
Tunaizungumzia Tanzania generally na mm ni raia wa Tanzania nina haki ya kujitapa na vya nchi yangu.
HALAFU MFANYABIASHARA HUWA ANANUNUA KILE CHENYE KULETA FAIDA.
WW NI MFANYABIASHARA GANI PUNGUANI AKACHUKUE SIMU ASSEMBLED IN RWANDA AACHE KUCHUKUA MADE IN CHINA HAO WATEJA ATAWAPATIA WAPI?
HATAA MMAKONDE WA NANJILINJI HUMUUZII ATAKWAMBIA KHERI YA TECNO.
HALAFU UNAJIITA UNA AKILI WW.
 
Sikujui ila nawafahamu Watanzania, hivyo wacha kutumia neno 'sisi' maana huna jeuri ya kuwakilisha Watanzania wote,matamko yako humu huonyesha sifa za mlalahoi, maana mfanya biashara wa Tanzania haswa ambao tunashirikiana nao baina ya nchi hawawezi kujipiga kifua kihivyo, wanajua umuhimu wa kushirikiana, hawana aina ya kiburi ambacho hutumika na walalahoi wa vijiweni Tandale.
 
Mtu aaache kununua tecno akanunue uchafu 😂😂😂
 
Sikujui ila nawafahamu Watanzania, hivyo wacha kutumia neno 'sisi' maana huna jeuri ya kuwakilisha Watanzania wote,matamko yako humu huonyesha sifa za mlalahoi, maana mfanya biashara wa Tanzania haswa ambao tunashirikiana nao baina ya nchi hawawezi kujipiga kifua kihivyo, wanajua umuhimu wa kushirikiana, hawana aina ya kiburi ambacho hutumika na walalahoi wa vijiweni Tandale.
Unaona ulivyomropokaji???
Unasikitisha hakuna kauli ya mlalahoi bali ww akili zako na fikra zako za kimaskini.
NAKUSISITIZA MM KM MTANZANIA NINA HAKI YA KUJITAPA NA VYA NCHI YANGU.
HATA WW HUJITAPA NA KIBERA ESTATES ILHALI HAUZIMILIKI UMEPANGA TU.
HAKUNA MTANZANIA AACHE KUNUNUA MADE IN CHINA ANUNUE ASSEMBLED IN RWANDA.
KAMA HAUTAKI JINYONGE.

NA HUWEZI KUSEMA UNAWAJUA WATZ WW MAANA HT MM HUNIJUI KIVYOVYOTE KWAHIYO ULOKUTANA NAO SIO UWALINGANISHE NA MM USIYENIJUA.
 
Huyu mchizi siku hadi siku naanza kumtoa akili.
Anadhani watanzania ni washamba wa vitu vya kijinga jinga,
Yaani Mtu aache kununua tecno ambayo wana maduka yao official (calcare zile) kwa ajili ya kurekebisha bidhaa zao kila mkoa alafu akanunue upupu 😂😂😂
 
Unaona ulivyomropokaji???
Unasikitisha hakuna kauli ya mlalahoi bali ww akili zako na fikra zako za kimaskini.
NAKUSISITIZA MM KM MTANZANIA NINA HAKI YA KUJITAPA NA VYA NCHI YANGU.
HATA WW HUJITAPA NA KIBERA ESTATES ILHALI HAUZIMILIKI UMEPANGA TU.
HAKUNA MTANZANIA AACHE KUNUNUA MADE IN CHINA ANUNUE ASSEMBLED IN RWANDA.
KAMA HAUTAKI JINYONGE.

NA HUWEZI KUSEMA UNAWAJUA WATZ WW MAANA HT MM HUNIJUI KIVYOVYOTE KWAHIYO ULOKUTANA NAO SIO UWALINGANISHE NA MM USIYENIJUA.

Ujitape tape vya nchi yako wewe binafsi kwenye level yako lakini usiwasemee wenzako eti hakuna Mtanzania aache hayo madafu yenu afuate vya jirani, makajamba wa Tandale hawana data ya jinsi gani tunafanya biashara baina yetu na Watanzania wenye hadhi na hela, pale mpakani malori yamepanga foleni pande zote mbili
 
Kenya ni Rwanda??
Halafu kumbe ww jamaa maatyakoo eeeh!!!
Mimi nazungumzia Rwanda ww unaleta habari za Kenya.
Hivi unajua km huna akili wewe??
TZ inafanya biashara sana na Kenya kwasababu Kenya hata mm nina kubali kuwa kuna quality manufactured goods.
Hapa tunaizungumzia Rwanda ww unaihusisha Kenya.

WE JAMAA UNA AKILI KWELI WEWE??
EBU TULIZA WENGE KWANZA.

Acha uzwazwa hapo inafanyika assembly ebu isikilize video vema.
Yani Rwanda watengeneze soft ware za sim wanaweza wapi??
Earth rare materials za kutengenezea hvyo vifaa vya simu sio hela ndogo na uundaji wake sio wa akili ndogo.
Hapo hao vifaa wananunua kaz yao ku assemble.
RWANDA HAWANA UWEZO WAUNDE RAW MATERIALS ZIWE SIMU KAMILI FROM THE BEGINNING.
HIYO INAHITAJI HIGHLY SKILLED LABOURS.
NDIPO UTAJIULIZA KWANN IPHONES ARE PROCESSED WITH CHINESE JAPOKUWA KAMPUNI YA USA.
video hii wanaosema ni assembly! Congrats Rwanda
 
Kenya ni Rwanda??
Halafu kumbe ww jamaa maatyakoo eeeh!!!
Mimi nazungumzia Rwanda ww unaleta habari za Kenya.
Hivi unajua km huna akili wewe??
TZ inafanya biashara sana na Kenya kwasababu Kenya hata mm nina kubali kuwa kuna quality manufactured goods.
Hapa tunaizungumzia Rwanda ww unaihusisha Kenya.

WE JAMAA UNA AKILI KWELI WEWE??
EBU TULIZA WENGE KWANZA.

Rwanda hadi rais wenu mwenyewe aliwaomba wampe wataalam wamsaidie TRA, yaani nchi yenu yote hiyo mlivyo wengi ila mletewe wataalam kutoka Rwanda.
 
I have never known what is the excitement of Electronics assembly where all parts are manufactured in china.
The economies of scale are so bad that any electronic device assembled in kenya/Rwanda is so costly & outdated it can only be afforded by the same government only.
No one in kenya has ever bought a device made in kenya..They are all bought in inflated GoK tenders for corruption purposes

I agree with you on this. There's someone also here who believes that to develop the country he needs factories regardless the economies of scale. He also believes the government can profitably undertake commercial activities compared to private sector.
 
Kuna masuala ambayo watu kusaidiana ni kawaida.
Magufuli alimuomba Kagame amletee mfumo wa ulipaji kodi wa kieletroniki sio kuisaidia TRA.
Unajua maana ya kusaidia halafu TRA ??
We jamaa bhanaa.
Hata USA inachukuaga tech India na Israel ya baadhi ya vitu sijui umenielewa ???
Rwanda hadi rais wenu mwenyewe aliwaomba wampe wataalam wamsaidie TRA, yaani nchi yenu yote hiyo mlivyo wengi ila mletewe wataalam kutoka Rwanda.
A
 
Back
Top Bottom