Hawana lolote
Uzalendo wao unatokana na uongozi uliotukuka walio nao,nasikia kiongozi wao kaomba kustaafu baada ya kupangiwa mikakati ya kipuuzi kufuatia uchaguzi mkuu ujao itakayopelekea umwagaji wa damu.
Huwa nikiwaangalia askari polisi wetu kisha nikawatizama JWTZ huwa najiuliza kama kweli haya majeshi yote yapo kwa ajiri ya watanzania kweli ama labda ni kama mbingu na ardhi,JWTZ mmesimamia nidhamu yenu na kweli Mara zote mnaombewa mema sana na wananchi wa kitanzania kwa kuwajari na kuwasaidia bila karaha na ubaguzi kama wenzenu wa Kova
Lakini hapo nawe unakosea, majukumu ya jwtz ni tofauti na polisi, hawa polisi shughuri zao za kila siku ni za kukutana na raia, ndio maana ni raisi kuona mabaya yao, ni kutokana na majukumu yao. Hata hao unaowasifia tena wao ndio wanyama kweli kuliko hata hawa polisi, wa kova, waulize watu wa mtwara, na waathirika wa operation tokomeza.
Una uhakika na usemacho?Uzalendo wao unatokana na uongozi uliotukuka walio nao,nasikia kiongozi wao kaomba kustaafu baada ya kupangiwa mikakati ya kipuuzi kufuatia uchaguzi mkuu ujao itakayopelekea umwagaji wa damu.
ni vizuri sawa lakini daladala zinazoelekea route hiyo zimeshapunguziwa hesabu😉
Siku ukiwachokoza utajuta kuwafahamu
Leo jioni majira ya saa kumi na moja au kumi na mbili wakati mvua inanyesha pale Mwenge kituo cha kwenda Tegeta, basi la JWTZ lilisimama na kuwapa lift watu waliokuwa wanaelekea njia yao: Lugalo na Kawe. Wamenigusa sana kwa moyo huo wa kizalendo na mapenzi kwa wananchi wenzao. KWELI NYIE NI WALINZI WETU....... MBARIKIWE SAAAANA kwa sababu kitendo mlichofanya magari ya serikali (yaliyonunuliwa kwa kodi zetu) hayawezi kufanya hivyo!
Hawana lolote