naumbu JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 4,717 Reaction score 8,093 Apr 22, 2014 #101 mjepo said: Safi sana wazalendo utawajua tu. Click to expand... Hata wewe?unafiki kitu kibaya sana,mbona unajicontradict na post zako nyingine?au hauangalii hoja unaangalia mtoa hoja?Buku 7 FC mna kazi kweli
mjepo said: Safi sana wazalendo utawajua tu. Click to expand... Hata wewe?unafiki kitu kibaya sana,mbona unajicontradict na post zako nyingine?au hauangalii hoja unaangalia mtoa hoja?Buku 7 FC mna kazi kweli
M mgeni wenu JF-Expert Member Joined Jan 2, 2012 Posts 3,664 Reaction score 1,731 Apr 22, 2014 #102 Ukawa kuwa chama cha siasa muda si mrefu
Lu-ma-ga JF-Expert Member Joined Sep 21, 2010 Posts 4,780 Reaction score 3,228 Apr 22, 2014 #103 nuruyamnyonge said: Naam, hili ni pigo kwa sitta ndio maana amewaomba ukawa wakae Meza moja Click to expand... Lema alimpa ushauri wa bure akamuona ni mvuta bange, sasa nani kati yake na Lema ni mvuta bange???
nuruyamnyonge said: Naam, hili ni pigo kwa sitta ndio maana amewaomba ukawa wakae Meza moja Click to expand... Lema alimpa ushauri wa bure akamuona ni mvuta bange, sasa nani kati yake na Lema ni mvuta bange???
NJUGHU JF-Expert Member Joined Aug 16, 2013 Posts 383 Reaction score 269 Apr 22, 2014 #104 Safi sana,amesoma alama za nyakati!
nuruyamnyonge JF-Expert Member Joined Mar 18, 2014 Posts 4,448 Reaction score 2,305 Apr 22, 2014 Thread starter #105 NJUGHU said: Safi sana,amesoma alama za nyakati! Click to expand... Mwenzake nae Sitta amekwenda Zanzibar kuungana na ukawa yani ngoma inogile!
NJUGHU said: Safi sana,amesoma alama za nyakati! Click to expand... Mwenzake nae Sitta amekwenda Zanzibar kuungana na ukawa yani ngoma inogile!
nuruyamnyonge JF-Expert Member Joined Mar 18, 2014 Posts 4,448 Reaction score 2,305 Apr 22, 2014 Thread starter #106 Job alisoma alama za nyakati hata maaskofu karibu wote wameliomba bunge la katiba kuheshimu maoni ya tume ya jaji warioba.
Job alisoma alama za nyakati hata maaskofu karibu wote wameliomba bunge la katiba kuheshimu maoni ya tume ya jaji warioba.
Genekai R I P Joined Feb 9, 2010 Posts 12,514 Reaction score 5,006 Apr 22, 2014 #107 This guy is one of those who should never be trusted come what may!!!!!!!
nuruyamnyonge JF-Expert Member Joined Mar 18, 2014 Posts 4,448 Reaction score 2,305 Apr 22, 2014 Thread starter #108 genekai said: This guy is one of those who should never be trusted come what may!!!!!!! Click to expand... That's fine.lakini kwa tamko lake tu wapo wale wafuasi wa upepo wameachana na ccm na kuungana na ukawa.wengine kule mbeya wametupa kadi za ccm wamejiunga na chama kikuu cha upinzani kwa hiyo kama alikuwa anazuga imekula kwake.
genekai said: This guy is one of those who should never be trusted come what may!!!!!!! Click to expand... That's fine.lakini kwa tamko lake tu wapo wale wafuasi wa upepo wameachana na ccm na kuungana na ukawa.wengine kule mbeya wametupa kadi za ccm wamejiunga na chama kikuu cha upinzani kwa hiyo kama alikuwa anazuga imekula kwake.