the mkerewe
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 232
- 14
wewe huwezi waza jambo njee ya slaaaPole!! Unaonekana si mzima kiakili. Post zako zote utadhani zimeandikwa na mfu. Pole kwa mawazo mgando uliyonayo!!!!
Bila Aman nchi haiwezi kusonga mbele.
Kwa hali ilvyo sasa na soon baada ya uchaguzi kama sio uimara wa polisi nchi ingewaka moto
try to imagine wewe ungekuwa IGP na ni wajibu wako kulinda amani ingekuwaje kama sio wajinga wachache wapenda vurugu kuwafutilia mbali?
Ni muhimu kulinda amani ya maelfu kwa gharama ya uhai wa wachache pindi inapolazimu.
Nchi hii haiwezi kulea majambazi/wavunja sheria/waropokaji/wakabila.
Nawakilisha

Huo ni ukweli usio pingika, hao nilioweka red utawaona humu sasa hivi, wala hawajafichi.

Duh, mtu mwenyewe kumbe foxy. ni sahihi kabisa kuwa na mtizamo kama wa Mkerewe. Nyie watu sijui ni watanzania au wanyarwanda. Yaani mnashabikia polisi kuua watu? Lazima nyie hamjawahi kukutana nao kwenye anga zao. Laiti ingetokea mara moja mkaingia kwenye anga zao ndo mngejua kwamba Polisi wa Tanzania ni zaidi ya mashetani.Huo ni ukweli usio pingika, hao nilioweka red utawaona humu sasa hivi, wala hawajafichi.
Weee una akili sana Mkuu wetu. Kama huyu nduguyo hapa chini:
Jeshi la Polisi limeua raia na kuchukua maiti zao mochwari na kuzitelekeza barabarani. Then mtu anakuja hapa anaanzisha thread ya kuwapongeza polisi wakati hata uchunguzi haujafanyika kuona kama polisi walitumia nguvu kiasi, post kama hizi inabid Mods waziondoe haraka sana maana zina leng la kuudhi watu tu. Hivi mfiwa anajisikiaje anapoona kuna mtanzania mwenzake anampongeza askari kwa kuua ndugu yake? Tafadhari hii thread iondolewe haraka.
Nchi hii haiwezi kulea majambazi/wavunja sheria/waropokaji/wakabila.
Makenge mengine hayana mikia.Huo ni ukweli usio pingika, hao nilioweka red utawaona humu sasa hivi, wala hawajafichi.
Bila Aman nchi haiwezi kusonga mbele.
Kwa hali ilvyo sasa na soon baada ya uchaguzi kama sio uimara wa polisi nchi ingewaka moto
try to imagine wewe ungekuwa IGP na ni wajibu wako kulinda amani ingekuwaje kama sio wajinga wachache wapenda vurugu kuwafutilia mbali?
Ni muhimu kulinda amani ya maelfu kwa gharama ya uhai wa wachache pindi inapolazimu.
Nchi hii haiwezi kulea majambazi/wavunja sheria/waropokaji/wakabila.
Nawakilisha
Umetaja kama ifuatavyo:
Mbona wezi wa mali za nchi hujawasema?PHP:Nchi hii haiwezi kulea majambazi/wavunja sheria/waropokaji/wakabila.
Makenge mengine hayana mikia.