Hongera January Makamba, Poleni Vijana wa Vyuo Vukuu!

Tehe!
Makamba huyu mbunge wa Bumbuli au?!
Nheee!
Basi urais ni kazi rahisi!
Kwa lipi-kutafuna maneno au!/
Kumbe ndo maana akasema haoni sura ya urais kutoka vyama vya upinzani siyo!
Mwisho ni kwa hao wawakilishi wa "vyuo vikuu", hayo ndyo mliytumwa na waliowachagua?
 
Kwanini wasingemchagua mwanafunzi mwenzao kutoka ktk hivyo vyuo wanavyosoma hao WASOMI?
Walitumia vigezo gani kuwapata hao kina ZZK, JM, J.MNYIKA?
 
Wao wameshapendekeza jina la January Makamba sasa ingekuwa ni busara kumchambua kwa ushahidi wa vigezo na siyo maneno ya kizushi na kulalama.
 
% kubwa ya marais wa vyuo vikuu wengi wao wanaelement ya ccm na hyo inatokana na sababu kubwa na wakuu wa vyuo kuwekwa kiitikadhi ya ccm na mara nying vijana weng wenye kuleta mabadiko wanakosa ku2mia uhuru wao kutokana na kubanwa na itikadhi ya ccm nakumbuka kuna kijana alisumbua wakampa disco ya ajabu isiyoeleweka japo saiv yupo kwenye chuo fulani huko nje
 
% kubwa ya marais wa vyuo vikuu wengi wao wanaelement ya ccm na hyo inatokana na sababu kubwa na wakuu wa vyuo kuwekwa kiitikadhi ya ccm na mara nying vijana weng wenye kuleta mabadiko wanakosa ku2mia uhuru wao kutokana na kubanwa na itikadhi ya ccm nakumbuka kuna kijana alisumbua wakampa disco ya ajabu isiyoeleweka japo saiv yupo kwenye chuo fulani huko nje
Na january Makamba ni Mlezi wa Mkoa Maalumu au jimbo la Vyuo Vikuu ndani ya ccm!
 
Last edited by a moderator:
mim nilijua wameenda kupigania maslah ya wanafunzi,kumbe wameenda kuchagua raia wa tanzania
 
Yani mzee katika hali yakushangaza sana taifa hili sasahivi halithamini cheo cha urais kabisa sijui wtz tumekuwaje, hii ni hatari kubwa sana wajameni ikulu sio sehemu ya kufanyia mzaha eti kila mtu anayejisikia anatangaza au kutangaziawa nia ni hatari.

Ni kweli Urais TZ mtu yeyote aweza kuwa Rais kutokana na marais waliopita kuwa rahisi. Na kama tungeyajua mahitaji yetu tungeya weka wazi then tuanze kuangalia nani atatimiza mahitaji yetu kwa namna tunavyotaka. kumbe kutaja watu lingekuwa swala lamwisho. sasa hawa vijana wameacha mambo mengi yanayo wahusu wanarukia mambo yasiyo natija kwao, inasikitisha sana.
 
Wao wameshapendekeza jina la January Makamba sasa ingekuwa ni busara kumchambua kwa ushahidi wa vigezo na siyo maneno ya kizushi na kulalama.
January ni chaguo mwafaka kwa sababu zifuatazo:
- Ana uzoefu na utumishi wa umaa, amefanyakazi Ikulu na Uwaziri
- Mwenye busara, ametulia hakurupuki, hana hasira za kijinga.
- Hana skendo, ni mzalendo wa kweli
- Msikivu na yuko karibu na wananchi, mwenye kuhurumia watu
- Ana msimamo na anatambua vipaumbele
- Ana waunganisha watu na siyo mbinafsi
- Ana uwezo wa kuangalia mbele na kutathmini mambo
- Ana kiamini na ana uwezo wa kuongoza.




 
Jumamosi niliposoma uzi wa

Marais
na wawakilishi wa serikali za wanafunzi wa vyuo vikuu wanakutana
Morogoro leo
niliandika hivi:

Leo nimesoma gazeti la
Mwananchi
niliyotarajia yametimia kama yalivyotabiriwa.

Vyuo vikuu wampigia Makamba debe la urais

Waazimia kuunda timu ambayo itamshawishi January Makamba kuwania
urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015.

Morogoro. Viongozi wa Vyuo Vikuu
21 nchini wameazimia kwa kauli moja kuunda timu ndogo itakayokwenda
kumshawishi Mbunge wa Bumbuli na Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na
Teknolojia, Januari Makamba kuwania urais katika Uchaguzi Mkuu wa
2015.

Rais wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo
Kikuu Mzumbe tawi la Mbeya, Theonest Theophil alisema hilo ni moja ya
maazimio yaliyofikiwa katika mkutano wa siku mbili na kuwashirikisha
marais, makamu wa rais, mawaziri wakuu na maspika wa vyuo 21 nchini.

Theophil alisema mkutano huo uliyapigia
kura majina matatu yakiwamo ya wabunge wengine wawili vijana; John
Mnyika na Zitto Kabwe na kwamba Makamba alipitishwa kuwa chaguo lao
baada ya kupata kura 70 kati ya 105 zilizopigwa. Alisema Zitto alipata
kura 20 na Mnyika kura tisa, huku kura tisa zikiharibika.

Alisema viongozi hao wamepanga kutembea
nchi nzima na kuwashawishi Watanzania kumuunga mkono Makamba endapo
ataafiki kuwania nafasi hiyo ya urais, huku wakidai kwamba wamechoshwa
na viongozi wenye visasi na uadui ambao wamekuwa wakitumia muda mwingi
kulumbana na kupambana badala ya kuwatumikia wananchi.

Theophil alisema mkutano huo ulilenga
kujadili mustakabali wa nchi katika masuala ya ubora wa elimu na
vihatarishi vya amani ambavyo vinatokana na chuki za kidini, siasa na
visasi. Pia walijadili tatizo la ajira kwa vijana, ukuaji wa uchumi na
mchakato wa Katiba Mpya ambao alisema hivi sasa ni kama umetekwa na
ushabiki wa kisiasa.

Theophili alisema walibaini kwamba ili
kukabiliana na changamoto zilizopo lazima nchi iwe na uongozi thabiti,
hivyo walimchagua Makamba kama mmoja wa viongozi wenye sifa za kushika
wadhifa wa urais kwa kuzingatia sifa alizonazo.

Alizitaja baadhi kuwa ni kuonyesha uwezo
na ujasiri katika nafasi za uongozi alizowahi kushika na uadilifu,
kwani hajawahi kuhusishwa na vitendo vya rushwa na ufisadi katika
uongozi wake.

Kwa upande wake, Said Ngolola kutoka
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam alisema tatizo la mikopo kwa wanafunzi wa
vyuo vikuu limekuwa likiathiri mfumo wa elimu ya juu nchini, kutokana
na kushindwa kwa waliopewa dhamana ya kusimamia suala hilo hali ambayo
imekuwa ikileta migogoro isiyoisha.

Mkutano wa viongozi hao uliandaliwa na
kufadhiliwa na asasi isiyokuwa ya kiserikali ya FPID inayojihusisha na
mapambano dhidi ya maradhi, ujinga na umaskini yenye makao yake makuu
Dar es Salaam.

Katibu wa asasi hiyo, Frances Ndunguru
alisema asasi hiyo haina uhusiano wowote na wanasiasa, bali lengo ni
kuwezesha makundi mbalimbali ya kijamii kukutana na kujadili masuala
yenye masilahi kwa nchi.

Source: Mwananchi

Mfumo wa Elimu Tanzania unahita kuangaliwa kwa upya. Kwa vijana type hii 2*1=3.
 
Tehe!
Makamba huyu mbunge wa Bumbuli au?!
Nheee!
Basi urais ni kazi rahisi!
Kwa lipi-kutafuna maneno au!/
Kumbe ndo maana akasema haoni sura ya urais kutoka vyama vya upinzani siyo!
Mwisho ni kwa hao wawakilishi wa "vyuo vikuu", hayo ndyo mliytumwa na waliowachagua?

January hana sifa ya kuwa Rais, ubunge bado hajaumudu, ninalolikumbuka kuhusu january nipale alipokurupuka na kukimbilia kwenye mitandao na kusema "Mimi nilipinga sana hili swala la kodi kwenye simu ni wa bunge wenyewe ndo waliopitisha" Huyu ndie anaetajwa awe Rais tena na wale tunaowaita wasomi, Hii ni ajabu kubwa kabisa. kauli yake hio inamaaninisha Makamba ni mtu wa Majungu, mtu alie shindwa na akalaumu wenzie, ni mtu asie jitambua kwa maana yeye alijiondoa kuwa mbunge, nikiongozi mpenda sija za kijinga kama kupiga picha kwenye vibajaji, Ni mtu anaetaka wenzie wachafuke yeye aonekane msafi, ana ajenda ya Gizani kama alivyofanya Kikwete hakuwa na kitu cha kuonesha ambacho hata kingemtambulisha kwa miaka yote 30 aliyokuwa kiongozi kama akina Magufuli ama Mwakyembe, ama mrema, watu walimchagua tu kwasababu kulikuwa na ajenda ya Gizani tu. sasa kosa hili likirudiwa tanzania itapotea kwenye ramani ya Dunia.Viongozi jamii ya january ni rahisi kutumiwa na kuwekwa wakatimiza ya watu waliowatuma. watu wanasema ni mbunge kule bumbuli mmesikia habari ya wananchi wakipigana kwenye kiwanda cha chai, sasa ni waziri kipi kafanya! zaidi ya kuishia kulalamika kwenye mitandao.
 
Uyo makamba ni mfano wa wana-ccm wenye tabia ya kujitekenya wenyewe na kucheka wenyewe.

Hivi mtu mzima kweli unaingia mfukoni unamuhonga mtu asome speech ya kukusifia.

Hawa ndo viongozi wa CCM mnaowategemea kweli??
 
January ni chaguo mwafaka kwa sababu zifuatazo:
- Ana uzoefu na utumishi wa umaa, amefanyakazi Ikulu na Uwaziri
- Mwenye busara, ametulia hakurupuki, hana hasira za kijinga.
- Hana skendo, ni mzalendo wa kweli
- Msikivu na yuko karibu na wananchi, mwenye kuhurumia watu
- Ana msimamo na anatambua vipaumbele
- Ana waunganisha watu na siyo mbinafsi
- Ana uwezo wa kuangalia mbele na kutathmini mambo
- Ana kiamini na ana uwezo wa kuongoza.
Kigezo ingekuwa kufanya kazi Ikulu hata walinzi wangefaa. vile vile ingekuwa uzoefu wa Uwaziri basi wangepewa akina Mwandosya and the likes. Hoja ya kuwaunganisha watu haina tofauti ya ya Kikwete na uzuri wa sura mwaka 1995 na 2005--mwenye kuhitaji huduma yake kuunganishwa kwani lazima asubiri awe rais? Kusema kwamba anaona mbee ni very subjective na pia inategemeana na uwezo wako wewe pia wa kuona na kuhukumu mambo. Kwa mwingine kusikia anamwambia mwenziwe "kijana ukizeeka, utakuwa na mvi na utapinda mgongo" anaona msemaji ni mtu mwenye maono ya mbele sana! Sijaona la hekima wala busara katika nyadhifa alizoshika huyu Kijana. Bali nakumbuka jambo la kibaguzi na kulaaniwa alilolitendea Taifa kupitia ujumbe mfupi wa uchaguzi wa mwaka 2010. Kama huo ndo uzoefu wa kukaa Ikulu basi nitakuelewa.

Ebu nikuulize swali; una lipi la kitaifa, lililofanikishwa na Makamba ambalo unaweza kulitumia kumnadi athubutu kugombea ofisi kubwa na Takatifu kama Urais?
 
January ni chaguo mwafaka kwa sababu zifuatazo:
- Ana uzoefu na utumishi wa umaa, amefanyakazi Ikulu na Uwaziri
- Mwenye busara, ametulia hakurupuki, hana hasira za kijinga.
- Hana skendo, ni mzalendo wa kweli
- Msikivu na yuko karibu na wananchi, mwenye kuhurumia watu
- Ana msimamo na anatambua vipaumbele
- Ana waunganisha watu na siyo mbinafsi
- Ana uwezo wa kuangalia mbele na kutathmini mambo
- Ana kiamini na ana uwezo wa kuongoza.





Kwa kukusaidia anza na hii scandal ya 'fraud' aliyoifanya kwa uyu dada hapa chini na kumtishia maisha.




Lisa M Rockefeller The So Called Ernesto Sheka's real name is January Makamba, is the one apparently threatening me. Let's see if he will ever set his feet in the American soil, this is nothing but an act of terrorism, I agree now, Kikwete is a Joke to hire people like these
 

Kwa kukusaidia anza na hii scandal ya 'fraud' aliyoifanya kwa uyu dada hapa chini na kumtishia maisha.




Lisa M Rockefeller The So Called Ernesto Sheka's real name is January Makamba, is the one apparently threatening me. Let's see if he will ever set his feet in the American soil, this is nothing but an act of terrorism, I agree now, Kikwete is a Joke to hire people like these
Kwa undani zaidi:
Jakaya Kikwete We're in last day of our campaigns.Tomorrow,we've to go out and vote.With all the efforts that we've shown as a nation,there's no target we cannot hit if we aim together.It's tomorrow,when we'll vote against all the seeds of discord.When we'll vote for how far we've travelled in the past 5 years and how far we are determined to go.When we'll vote for socio-economic progress,peace,harmony and unity.

8 hours ago · Comment · Like

  • Rasel Mpuya Madaha, Said Awadh, Kibibi Awadhi and 86 others like this.
    • Ernesto Sheka ‎" loot" - sacking,plundering,despoiling, despoliation or pillaging is the indiscriminate taking of goods by force as part of a military or political victory,or during a catastrophe or riot, such as during war,natural disaster or rioting.?I ...think you have misused the word.
      "never took any action." how many people are in court of misuse of public funds today?
      " initiative to investigate"-many people are still at standby with court orders.The law is what is used and not just what people feel.And that's how the rule of law suggests,no one's above the law but at the same time no one is guilty until proven so beyond doubt by the court that infact uses laws.Now,you and I can agree that something is wrong with the laws all over the world,the laws,not people or governments.See More
      2 hours ago ·
    • Ernesto Sheka Chuma was MCC so blind to grant us the MDG education awards?about an hour ago ·
    • Ernesto Sheka Chuma,nadhani kila msikilizaji wa hotuba za Kikwete hata mahojiano ya jana usiku anajua kwamba Kikwete knows the challenges that these schools are facing,he said why they haven't met on time,he showed the improvements.(student:book) and he analysed for areas geared towards the improvement of these schools and how it will be done.Mbona tunaongopeana?about an hour ago · 1 personLoading... ·
    • Florah Msafiri ushindi lazima mheshimiwa,wapende wasipendeabout an hour ago ·
    • Ernesto Sheka ‎"Lisa the dude is a ----in gang leader wht wud u expect" that doesn't answer any of my questions that I posed to you @ Mike and it's still a doubtable statement.The rest of your reply is personal and has nothing to help this country or thousands of young people who are working hard to make their ways up using the limited resources available in schools like books.about an hour ago ·
    • Lisa M Rockefeller as part of my mission work, I was in Tanzania, that was back in 2003. I was in Mbeya for 6 months. A loaf of bread was Tsh. 300, today same loaf is Tsh 900, what gain can he claim or how has he helped the country? USD1 was Tsh. 475 today 1USd is Tsh. 1500, C'mmon dude, you know better than that. Your candidate has delivered -35%; meaning he has driven Tanzanian economy into negative territory -35%about an hour ago · 1 personLoading... ·
    • Ernesto Sheka Lisa,a fair question.What was a South African Vs US Dollar exchange rate in 2003 and what is it today?(You can sense where am heading from there I hope,fair indeed.)about an hour ago · 1 personLoading... ·
    • Lisa M Rockefeller We are not talking about South Africa, that is another nation, in another level. We are talking about Tanzania and Jakaya Kikwete, and if I can tell you, I sat with Mr. Kikwete in 2005 in Washington DC. It was quite sad to hear him speak. Gargabe for a head of state. I am sure, if I could sense that, many Tanzanians who are the victims of his misrule have realized that, and will do the right thing come election dayabout an hour ago · 1 personLoading... ·
    • Ernesto Sheka We cannot talk about the trends of a Tanzanian shilling against a US Dollar without referring to what was happening in other parts of the world in the same season.That will be the worst form of making ourselves blind and we'll be missing a ...point and above all we'll have an extremely biased argument Lisa.Can you point out clearly what you refer as "garbage"? I think we have missed a point in global currency trends,we can't fool people that the government has a 100% or even a 50% share of the problems in currency values.See More
      about an hour ago · 1 personLoading... ·
    • Ernesto Sheka Not in our county,not in South Asia,not in Latin America,not in East Europe.That's somewhere else and you know it!Let's face the facts.about an hour ago · 1 personLoading... ·
    • Maryangela Kamene Kimwele Amani about an hour ago ·
    • Maryangela Kamene Kimwele Amani about an hour ago ·
    • Maryangela Kamene Kimwele Amani about an hour ago ·
    • Maryangela Kamene Kimwele Lisa do u hav a vote?about an hour ago ·
    • Lisa M Rockefeller Dont take my argument and base it on the currency. That is just a drop of water in an ocean in regards to Kikwte's misdeed to the contry of Tanzania. I have been to Tannzania more than 4 times, but was suprised how civil servant under Kikwe...te whose Salary is less than $500 a month can own $1miilion dollar house, and drive $200,000 dollar car. If this is not corruption, what is it? Mind you children are dying in hospital because their parents cant afford to pay for treatment. What is wrong witht hat argument? Guys, I feeel for you. All
      I come for in your country is to help the needy, not to invest or anything else, but if you are blind to your own problems, then noway you can be helped. The only way you can rescue yourself is to vote responsibly by voting out Kikwete protecting the kingpins of corrptionSee More
      54 minutes ago ·
    • Lisa M Rockefeller ‎@Thakur, seriuosly, I cant respond to you, too many logical flaws in your reasoning. I dont know what you are talking about53 minutes ago ·
    • Ernesto Sheka ‎"civil servant under Kikwete whose Salary is less than $500 a month can own $1miilion dollar house, and drive $200,000 dollar car." did you get any info about this?Loans maybe?I know of mayors in the US who run lives beyond their own salar...ies,who get business deals using their positions in the government,Michael Bloomberg for a start.Am not justifying anything,I want you to tell me if you have any details concernning property ownership to civil servants in Tanzania.I don't wana talk about kingpins in the USA,Italy or any country or the projects that you are doing (have you ever monitored your own projects in Tanzania?How did it go?)See More
      46 minutes ago · 1 personLoading... ·
    • Lisa M Rockefeller They are greedy you (leaders) sought from around the world. You let them do what they wanted. In america, we have them, but our laws and the people dont allow them. We allow Obama to lead us because he promised change, unfortunately he has ...proved to bea burden, he is not going to get another chance. So if your leaders let people into the country to mine your gold and a throw away price, that is not a question for me to answer, it is you and your leaders to answer... what did your leaders get in return for letting barrick into Tanzania, and what did you get a common man apart from the craters? I am sure you are a indian, do you pay taxes in Tanzania@Thakur?See More
      43 minutes ago ·
    • Ernesto Sheka What laws allowed the Watergate Scandal or the Iraq Oil saga or even the Guantanamo Project?Lisa.39 minutes ago ·
    • Hassan Said Good luck everything will be alright.ari zaidi, nguvu zaidi na kasi zaidi39 minutes ago ·
    • Lisa M Rockefeller ‎@Thakur I have the best of Tanzania in my heart. I met good people in Tanzania, and my family has given more than $5million to the needy in Tanznaia in the past 4 years, so you cna reserve that statement yo yourself. So what part are you playing, are you paying taxes?38 minutes ago ·
    • Lisa M Rockefeller If you are aTanzanian, and you are paying taxes, you know the pain when your maoney goes to handful of families in the rulling party yet you can't afford paying tuition fees for your children. If you have this in mind, then most definitely, you are not going to vote for Kikwete, because he is a JOKE35 minutes ago ·
    • Dinnah Walton There'll never b a better President for any country in Africa! But,we must support those who have courage to step up n try2make changes. There'll never b another Obama in US & his fate is no different than that of Kikwete rite now! After 50yrs of independence to a continent with resources that all its citizens can each b afforded a palace bigger than DC in US,what more do you want of these people?28 minutes ago ·
    • Lisa M Rockefeller Thakur, I am sympathetic. Tanzania is not poor, it is one of the richest in the continent, the only problem you people have, is leadership. People like Kikwete are the one making your country look so poor in the eyes of the world.That is why i feel sorry for you for electing this guy in the first place, and if you were born in Tanznaia and see your future there, think before you vote28 minutes ago ·
    • Lisa M Rockefeller i sat with Kikwete when he took office in 2005, he came to DC, and narrated to him my expirience in Mbeya, asked him if he was going to do something. He gave me his personal contacts, I came to Tanznaia, before I went to mbeya he sent people to clean the hospital I was to visit, years later, the hospital was in terrible situation than before, and here after we donated $500,000.He does not deserve another term in the office, he needs to go24 minutes ago ·
    • Ernesto Sheka Lisa,in my last inbox chat with you (am sorry I have to disclose this),you said you have been helping Tanzania four years in a row.How do you keep helping a person who is misusing your funds?(I have a huge question mark).I am also not sure with what you have just said and you know why.14 minutes ago ·
    • Lisa M Rockefeller ‎@Thakur, keep up your hard work, but know that. even if you are in the manufacturing industry, as much as he is destroying your country, you may end up finding you worked for nothing all of your life. Look at Zimbabwe, there are people who owned so much, but at the end of the day ownded nothing because Mugabe destroyed their future. He is no different from Kikwete, the only difference is that, Mugabe is brilliant and Kikwete is "dummy"11 minutes ago ·
    • Jesse Mecameca Lisa u knw what,.! Nyerere said in his speach " in multprt systm the president maight come out of ccm, bt the best president can't be found any where but in ccm unless ccm members fails to put the best candidate for the position, and if tha...t will happen the Tanzanians we look to the other parties for the best president"
      so ccm has faild to produce the best candidet and now the Tanzanians are doing what Nyerere said they 'll do...!!
      Kikwete might go back to power for the last time with shame and that will be the bad end of ccm on the coming elections of 2015...!
      ccm has com to an end...!
      See More
      9 minutes ago ·
    • Lisa M Rockefeller ‎@sheka, helping Tanzanians is not helping Kikwete. Ordinary citizen is innocent, I am having a problem with your leadership. You are Kikwete's propaganda machine, and know quite well that, it is going to reach a point you will be sitting back and cry over what you in the name of the mighty dollar.Betraying your country to please an ignorant man who does not want to prosecute corruption kingpins8 minutes ago ·
    • Rasel Mpuya Madaha Lisa Rockefeller indeed an offspring of the richest person in recorded history of USA (I am aware of Rockfeller foundation). However, Kikwete is much better than your Bush though he can not be compared to Obama. Kikwete must stay because he improved our economy. It is better that you could manage to see Kikwete. I have been striving to see Obama for a year while living in Buffalo but I could not see him despite the fact that he visited Buffalo.7 minutes ago ·
    • Lisa M Rockefeller ‎@Rasel, dont quote my family. Quote me as an activist, wanting good for the Tanzanian people. Where is Bush, where is Obama they are soon becoming history, Americans know what best for them. once you screw up, no second chance. Kikwete plays too much, how can a president tell you something in the audience and when you see him he smiles at you like a little baby? Head of State? Please !!!!

Gonga:
Lisa M Rockerffeller urge Tanzanians to reject Kikwete a 2nd Term
 
Kweli hawa maraisi hawako serious wala sidhani kama wanafanya mamnbo yao kwa maslahi ya wanafunzi waliowachagua. Jinsi vyuo vikuu vilivyojaa matatizo lukuki nyinyi mnapata wapi muda wa kuwachagulia watanzania Raisi, alafu eti mtaunda tume ya kwenda kumshawishi Makamba kuwa raisi wa Tanzania!!!!, mnaongea kirahisi tu kama vile sio wa wasomi wa vyuo vikuu?!!! kiwango cha elimu kila siku kinashuka, matatizo ya mikopo hayajaisha, wahitimu hawapati ajiri kutokana na sylabus zilizopitwa na wakati,... you guys where do you get time to play while students in higher learning are suffering! ,... ,.....Fanyani kazi mlizotumwa na walio wachagua, achaneni na siasa!.
 
Wadau sijaelewa uyu January anataka kuwa Rais wa UVCCM au nchi?uyu jamaa ni karata ya Lowassa asitake kutuchanganya,kaja kupima upepo tu hana lolote wala hasipewe coverage kubwa kiasi icho.
 
Back
Top Bottom