Mbona mweupe
Anapete ya ndoa kumbe!
Mtoto wa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Janet Pinda (kulia) akipongezwa na wadogozake, Nasirika Nyema (wapili kulia) na Namsi Pinda (kushoto) baada ya kutunukiwa Shahada ya Uzamili ya Uongozi katika Mifumo ya Afya kwenye Mahafali ya Chuo Kikuu cha Mzumbe mjini Morogoro, Desemba 6, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mbona mweupe
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu (kulia) wakiwa na Binti yao Janet Pinda ambaye alitunukiwa Shahada ya Uzamili ya Uongozi katika Mifumo ya Afya kwenye Mahafali ya Chuo Kikuu cha Mzumbe yaliyofanyika Chuoni hapo mjini Morogoro Desemba 6, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
acha wivu.......kinakuuma nini....weka basi hao unaoita wengine,be somebody little fella..if you are a bunch of no body,to hell with u..Huko ni kujikomba ina maana ni yeye peke yake aliyemaliza hakuna wengine mpaka unaleta upuuzi kama huo JF
Anapete ya ndoa kumbe!