Hongera India

Hawa watu wajinga kweli!! hivi unacopy na kupaste unaweza kushindwa kweli?
 
Hawa watu wajinga kweli!! hivi unacopy na kupaste unaweza kushindwa kweli?

kama kukopi ni rahisi,mbona wewe mtz umeshindwa kukopi kuunda sindano ya kushonea nguo.kila bidhaa hapa nchini inatoka nje.
 
India imepeleka satellite. Tanzania imeshapeleka nyani kwenye mars.

Na binaadam pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…