Swali kubwa lililonijia mimi ilikuwa ni why tanzania again? Je ni bahati tu au vijana wetu wanaonesha vitu vya ziada.................
But in short ninavyojua mimi kuishi na watu yenyewe tayari inahitaji ujuzi na maarifa fulani.
Sasa inapokuja suala la BBA mshiriki anatakiwa azingatie masharti ya shindano, aishi vizuri na wenzake wa jinsia tofauti, atimize needs na expectations za housemates bila kuvunja masharti na mwisho atimize the needs and expectations za mashabiki kutoka kila pande ya dunia ili apate kura. hii siyo kazi rahisi ndo mahali kipaji kinatakiwa ili uoneshe tofauti