Hongera Idris kwa USHINDI BBA

Hongera Idris kwa USHINDI BBA

hongera idriss and thanks east africans for the support
 
Attachments

  • 1418033844830.jpg
    1418033844830.jpg
    59.3 KB · Views: 259
hata wakianzisha mashindano ya kukata viuno tutashinda tu
 
Ataishia kama mwenzake Rich hata hazitaonekana pesa hizi zilipokwenda
 
Income tax! income tax! Mwigulu pesa ya Maabara 2 imekuja yenyewe. Hongera Idris.
 
Hivi anayeshinda BBA anakuwa na vipaji gani ! Au kuwa wazi hili shindano ni nini,
Ushindi wa vijana wa kibongo mara idris jana diamond ni kielelezo kuwa watanzania tumejaliwa sana vipaji ila hatuvitunii Ipasavyo come on let's work up
 
Hivi anayeshinda BBA anakuwa na vipaji gani ! Au kuwa wazi hili shindano ni nini,

Swali kubwa lililonijia mimi ilikuwa ni why tanzania again? Je ni bahati tu au vijana wetu wanaonesha vitu vya ziada.................

But in short ninavyojua mimi kuishi na watu yenyewe tayari inahitaji ujuzi na maarifa fulani.
Sasa inapokuja suala la BBA mshiriki anatakiwa azingatie masharti ya shindano, aishi vizuri na wenzake wa jinsia tofauti, atimize needs na expectations za housemates bila kuvunja masharti na mwisho atimize the needs and expectations za mashabiki kutoka kila pande ya dunia ili apate kura. hii siyo kazi rahisi ndo mahali kipaji kinatakiwa ili uoneshe tofauti
 
Na mm nlikua nikifuatlia show idris alikuavizuri sana kuna kipindi walimtrick ili avunje masharti ya BBA lakin jamaa ni clever na aliepuka
 
Back
Top Bottom