Nduka Original
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,012
- 817
Wadau wa utalii nchini wanampongeza sana Waziri Kagasheki kwa kutambua umuhimu wa tourism stakeholders. Sasa hivi ameanzisha utaratibu wa kukutana wa wadau pamoja wa watendaji wa taasisi zake zote kama TANAPA, NCAA, TTB, TAWIRI, WORLDLIFE DIVISION NA TOURISM DIVISION. Lengo ni kusikiliza kero za wadau na watendaji wanatakiwa kuto majibu hapo hapo. Ila jana ilizihirisha ni kaisi gani tuna watendaji wabovu huko kwenye taasisi. Hawa jamaa uwezo wao ni mdogo sana na hawajui kinachoendelea. Jana tulikuwa na kikao na mwezi April tutakuwa na kikao kingine. Ukweli ni kuwa taasisi zake zinampiga vita hasa lakini Mungu atamlinda.