Ni kweli dada yetu Halima James Mdee kachukua kawe,jamani naomba mlio karibu nae mmwambie hivi wana makongo juu tunahitaji barabara ya kutoka corner ya chuo cha ardhi mpaka makongo juu ambayo Rita Mlaki alisema hawezi kuitengeneza kwa sababu makongo hawana impact yeye huwa anashinda kutokana na kura za kawe sasa tumeshikisha adabu kwa kuwaonyesha sisi tutawajibu kwa kuwa vote out.Halima sikiliza shida za wana makongo juu nasi tutakupa na kukupa na kukupa kura mpaka useme basi.......................Bravo Halima