Kashaijabutege
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 2,696
- 740
Hongera mdee. Nami nimesikia redio one.
Chadema wabunge zaidi 20...good.
Chadema wabunge zaidi 20...good.
Ni kweli dada yetu Halima James Mdee kachukua kawe,jamani naomba mlio karibu nae mmwambie hivi wana makongo juu tunahitaji barabara ya kutoka corner ya chuo cha ardhi mpaka makongo juu ambayo Rita Mlaki alisema hawezi kuitengeneza kwa sababu makongo hawana impact yeye huwa anashinda kutokana na kura za kawe sasa tumeshikisha adabu kwa kuwaonyesha sisi tutawajibu kwa kuwa vote out.Halima sikiliza shida za wana makongo juu nasi tutakupa na kukupa na kukupa kura mpaka useme basi.......................Bravo Halima
Hongera sana Halima
Congrats dada Halima Mdee, wewe ni mbunge wangu, I am so pride kuwa na mbunge makini kama wewe, jamani tuwasaidieni na wale wa vijijini waangaziwe waondoke chini yakivuli cha Chama Cha Magumashi.