Hongera HALIMA MDEE umeonyesha ukomavu

Status
Not open for further replies.

Naona mmehamishia vita kwa Halima baada ya huko kwingine kugonga mwamba... na bado Vincent Nyerere, Wenje, malizeni wote kutajataja alafu mrudi lumumba kuhesabu faida.....ujiiinga mtupu.......hivi na yale ya ukanda Halima hahusikieee.. ni Mbowe na nani na nani tena? real piece of shhh*t.
 
Ukitaka ubaki salama pasipo kuvuliwa Uanachama lazima uyakubali yote ya Mbowe hata Kama ni kwa Shingo Upande Halima anamjua Deus malya hawezi kumkosoa mbowe Kama alivyokuwa akikosolewa na Marehemu chacha wangwe Halima endelea kupiga Kiimya Linda kadi yako ya CDM Nina uhakika unaujua Udhaifu wote wa Mbowe lakini hautathubutu kumpinga hata kwa sekunde 1 tu
 

Chezea Mzimu wa chacha wangwe wewe
 


Hata wenje sijamskia pia,

Tunawaskia mamluki tuh kama Min kabaang na mibange nasari,,zezeta mnyika,tundu bovu na vifaranga wengine wasiojitambua
 
Tokea Chacha wangwe afariki CC hawajawahi kumkumbuka hata kwa Dk 1 tu licha ya Kuwa na padri na mchungaji hata bango TBC limewashinda cc hawataki kumkumbuka Chacha kisa eti Yale yote aliyokuwa akiyapinga ndani ya chama bado yapo wanaona aibu Nafsi zinawasuta kwani hadi Leo Ruzuku na mapesa ya misaada yanamezwa makao makuu tu huko matawini mashinani wanalia njaa ni full kupiga miayo pasipo cha kufanya kwani ukifurukuta tu unavuliwa uanachama ikishindikana Deus malya anakuomba urafiki
 

c.cm! c.cm! c.cm
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…