Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
Mbunge wa Arusha Mjini Kamanda Godbless J.Lema amekabidhi gari la wagonjwa leo jijini Arusha.
Tukumbuke gari hili lilikua likabidhiwe mwaka jana lakini mkurugenzi alisusia kulipokea leo limekabidhiwa mbele ya Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha Kalisti Lazaro na Mkurugenzi wa jiji la Arusha.
TUNAKUPONGEZA SANA GODBLESS J. LEMA
Chanzo: Mwanahabari Huru