MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 12,925
- 28,988
Unamkumbuka Wilhelm Gidabuday yule aliyepambana na ufisadi kwenye kamati ya olimpiki na riadha kwa ujumla?
Sasa huyo jamaa nimegundua ni mtu makini. Mwanae yuko USA na ana kipaji kama cha baba yake na kumzidi. Hivi majuzi kashinda mashindano ya vijana mita 5000 na kuweka rekodi.
JF nzima tumpongeze Gidabuday kwa kulea kipaji.