May I know the rate of return on capital employed (ROCE) of that project? Simple Henge Preta Maundumula I want to invest in chagga land because they normally leave in village and come Moshi town in the morning and back in the evening

Nauli pesa ngapi?
hawa ndio mawaziri ambao wanaweza kunishawishi niangalie CCM kwa jicho lingine.......tatizo ni wachache sana......kama wote wangekuwa hivyo......tusingekuwa na malumbano......binafsi namuona Mwakyembe na Magufuli.......sijui wenzangu.......
Shida sio nauli mzazi ila Wanyakyusa humo kwenye mchuma wanasalimiana njia nzima.............yaaani ukitoka humo ndani ushaambukizwa unyakiusa mbona kwenye daladala hatuwasikii..
wanajiona wako nyumbani wamezoea tazara...halafu mi nimepanda na sijaona kitu kama hichoshida sio nauli mzazi ila wanyakyusa humo kwenye mchuma wanasalimiana njia nzima.............yaaani ukitoka humo ndani ushaambukizwa unyakiusa mbona kwenye daladala hatuwasikii..
hawa ndio mawaziri ambao wanaweza kunishawishi niangalie CCM kwa jicho lingine.......tatizo ni wachache sana......kama wote wangekuwa hivyo......tusingekuwa na malumbano......binafsi namuona Mwakyembe na Magufuli.......sijui wenzangu.......
Shilingi 400/= kwa mtu mzima
Shilingi 100/= kwa wakusoma
kwa hiyo kwenda na kurudi shs 800 na ukifika hapo stesheni wengine wanapanda basi kuelekea makazini sh 200 nyingine kwenda na kurudi so tunazungumzia shs 1200 kwa siku ambayo ni shs 6000 kwa wiki, hapo hujala bado....si mchezo kweli bongo saivi ndio new york haswaa
Mkuu sikonge uko sahihi kabisa!! Hizi taka taka tunashangilia wakati zilitakiwa kuwapo tangu miaka 15 iliyopita, watu wanaiba tu baada ya kukabwa koo ndo wanaanza kutekeleza mambo ambayo dunia hata haipo huko. Anyway, taratibu tutaanza kuelekea pazuri baada ya kujionea hili.Hii kitu tuliijadili sana sana hapa JF miaka kadhaa huko nyuma. Tuliweka njia kibao zinazoweza kutumika.
Kutumia Train ni UPUUZI mkubwa sana. Ni sawa na kuuwa Mjusi wa Rocket Bomb.
Labda aseme kwa kuanzia, hapo ntakubali ila haraka sana waanze kufikia Bus Train au Trams zinazotumia mafuta.
Ila kutumia mafuta ni UPUUZI pia maana Tanzania ina GAS. Inatosha kabisa kutafuta makampuni ambayo yapo mengi tu duniani yanayotengeneza Engines za kutumia GAS. Kama Miji itaanza kutumia hizi Train, basi tunaweza kabisa kutafuta kampuni ambayo itaanza kujenga/kuunda haya matrain/mabasi hapa hapa nchini yanayotumia GAS.
Uzuri wa Trams au Mabasi ni speed kubwa na hivyo kusaidia vichwa vya train ambavyo ni vichache, viwe vinakwenda mikoani.
Wakati nyie mnafaidi usafiri wa Mwakyembe, angalia watu wa Kigoma wanavyolalamika.
Watu walishazoea kuondoka saa nne nyumbani kwa kisingizio cha foleni wakiwa wameshakula na mchana anavusha. Lakini kwa sasa hakuna sababu ya kuchelewa!!kwa hiyo kwenda na kurudi shs 800 na ukifika hapo stesheni wengine wanapanda basi kuelekea makazini sh 200 nyingine kwenda na kurudi so tunazungumzia shs 1200 kwa siku ambayo ni shs 6000 kwa wiki, hapo hujala bado....si mchezo kweli bongo saivi ndio new york haswaa
hawa ndio mawaziri ambao wanaweza kunishawishi niangalie CCM kwa jicho lingine.......tatizo ni wachache sana......kama wote wangekuwa hivyo......tusingekuwa na malumbano......binafsi namuona Mwakyembe na Magufuli.......sijui wenzangu.......
Ni kweli, kwa hali ya maisha ya sasa hivi huo ni mzigo mkubwa kwa mwananchi wa kawaida. Lakini itampunguzia kuchoka kukaa kwenye daladala kwa masa mawili, na kuchelewa kule aendako na arudiko...sasa hivi ni rahisi kumpa mtu appointment ukitokea Ubungo kwenda city centre, kuliko wakati wowote ule!!
teh mimi roho inaniuma tu kwa sababu ya wivu wangu yaani natamani mtoto mzuri arudi kwenye himaya ...si unajua tena kula raha kuliko kutunza banaa............!!..Inaniuma sana pindi my EX-GIRLFRIEND anapopata NEW BOYFRIEND akatoka SHAVU DODO zaidi ya nilivyo kuwa naye..!!
sasa demu si we mwenye umemwacha???yan me sijaelewa bado so we ulitaka awe na maisha magumu ili???au unataka akurudie baadae!!hapa ndipo siwaelewi wanaume kabisa.....
mkuu, usikariri vitu. Sio kwenye kila kitu tunacalculate ROCE, huu ni mradi wa maendeleo ya jamii, so we look for socio-economic benefit.
Hebu calculate kwanza, ROCE ya kuwa mke, then fikiri, uone kama utaivest!