Mbon hizo kazi hazikufanywa toka mwaka 2005!
We kweli Mgomba!! Viongozi wangapi wameshindwa kubuni mbinu, ikiwa ni pamoja na Mwanaasha? Tumia muda kidogo kufikiri kabla hujachangia! Unajiaibisha.
Mwakyembe alipoomba miezi sita ili treni iwe inafanyakazi, Clouds walimtukana sana, hasa Gerald Hando na PJ, leo eti wanamsifia.
Clouds acheni uzandiki na unafiki, NINAWACHUKIA
we ndio kilaza a.k.a mburula!! hujui job description!! ipo siku utamsifia house girl wako kwa kukufulia chupi lako,wewe ni lofa tena *****!
Harrison George Mwakyembe..aka Jembe aka Dr wa Ukweli PHD...nani anabisha??!!! nchi hii watu kama hawa ndio wanatakiwa sio kuleta wasanii kuongoza kwa maneno na porojo...
kuna sku mtampongeza rais kwa kunywa maji
kidumu chama cha mapinduzi
Afadhali lije,nitakuwa mpiga debe wa kwanza
daah,mbona unahatarisha sembe lake bro?RahajipeReally anastahili pongezi kwani ameonesha creativity kwa wizara yake.tumeshuhudia viongozi wetu wapenda safari kila siku angani but tunajiuliza huwa wanakaa mahotelini tu bila kujifunza chochote huko waendako!!Mwakyembe umekuwa role model historia ya nchi hii itakuenzi. Please fungua reli zote zilizokufa nchi hii.
Huyo wa angani ndiye aliyemteua Mwakyembe akafanye hizo kazi. Umelala?