Hongera Dr. Diodorus Kamala

Hongera Dr. Diodorus Kamala

Uzushi wangu nini mkuu make kama ni ishu tu ya majina ya jimbo, basi mie hilo halikuwa kipaumbele changu. Ni sawa na kutokulitaja kabisa so long as naamini ukimtaja mhusika wenye kuelewa inatosha kabisa kuelewa

Kiufupi msingi wangu ni kumjadiri mhusika kwa mazuri aliyojitahidi kuyaonesha yawe madogo/makubwa
Kwa namna ulivyolileta hili jambo, ni kiashiria tu cha kwamba taifa hili linahitaji msaada kutoka sayari nyingine ili liweze kutoka hapa lilipo!
 
Wasalaam Watanzania nyote.
Leo nina jambo moja la kumhusu huyu Mh.Mbunge wa jimbo la Misenyi Nampongeza sana huyu mzee.

Kwanza niseme wazi, (mie sina chama) ila ninao utashi tu wa kumuangalia mtu mmoja mmoja kwa kadili ya matendo yake na hasa katika nafasi yake. Binafsi naamini kabisa approach yangu hii inanisaidia sana, nakuwa huru mda wote kupongeza na kusifia yeyote yule ama kukosoa na kamwe sibanwi na mipaka ya vyama "vyao".

Tokea uchaguzi umalizike na huyu mzee kuibuka kidedea, kuusema ukweli pasipo kuuma maneno na wala kumuonea mwingine, huyu mh. kweli ni kati ya wabunge wachache sana kutoka CCM na hata upinzani wanaoifanya kazi yao. Na hata staili yake anayoitumia ya kelele kidogo na matendo mengi a.k.a mzee wa kimya kimya iko safi sana.
Hadi kufikia leo, ni mbunge pekee kutoka mkoa wa Kagera aliyeweza kulizunguka jimbo lake kwa zaidi ya mara tatu.

Nimesoma na kuzidi kumfatilia baada ya kuvutiwa sana na anavyokuwa karibu na wanajimbo wake, huyu mzee anastahili pongezi hata kama hana anachowapa. Ninajiuliza kwa wapinzani, achana na mizigo ya CCM ambayo tumeshaizoea, ni kwanini wa upinzani walio wengi hawana spirit ya kutumikia vyeo vyao zaidi ya kuonekana wako busy na kuratibu maandamano kana kwamba waligraduate katika kuandaa maandamano

Kwa wapinzani na Lwakatare akiwemo, wanatakiwa kuelewa mahitaji ya jamii za watu wao na mahitaji yao, bora liende na mob politics havitawasaidia kamwe. Nendeni majimboni mkafanye kama Nassari a.k.a dogo janja, nendeni mkafanye kama Prof. Muhongo, fanyeni kama Dr. Diodorous Kamara. Mkitaka kuendelea kuwa wauza sura mijini mtambue 2020 siyo mbali na watanzania hawatasita kuchukua maamuzi "sahihi".

Atakaye mwona Mh. Mbunge huyu naomba ampe salaam zangu nyingi.
afadhali ungemtolea mfano Lema maana Arusha imebadilika chini ya uongozi wa Lema na oja ni kulizunguuka jimbo Lema ni zaidi ya mara mia
 
Wewe kawadanganye mapungu wasiyo kujua wee eti mimi sina chama wakati wewe ni ccm wa kutupwa? Vilevile mimi ni mpiga kura wa kamara huyo hana chochote kile anacho kifanya zaidi ya kuendeleza ubagizi wa kiitikadi na ukiendelea kuleta ubishi wako tutamwaga mambo hadharani juu ya huyo mtu wako, umetumwa nini wewe?
 
Acha kupotosha, Kamala na Kyerwa wapi na wapi? Huyu ni mbunge wa Nkenge. Hiyo kutembelea wapiga kura wake ni kwasababu ya tetemeko la ardhi vinginevyo hana tofauti na wabunge wengine walio wengi.

Lazima ajipendekeze sana maana hatosahau tulichomfanyia mwaka 2010 kwa kumpitisha Assumpta Mshama baada ya kutudharau kwa kutuambia tule kima (Tulye e'nkende).
Afadhali mkuu umemwambia ukweli huyo mtafuta sifa.Kamala hana cha kumsifia tangu aingie madarakani tunamuona anaebdeleza ubaguzi wake tu
 
Nimechanganya majimbo, nisamehe kwa hilo. Ila narudia kusema tena, kwanza jimbo lake siyo jimbo nakotokea mie na pili sijamsema kwasababu yoyote ile iwayo nje ya kazi yake.

Ukitaka kunielewa vizuri na kumwelewa kwa usahihi tafuta clip kupitia Jamco.blog ama Bukobawadau.blog ndo utaelewa mie siko katika kuongelea tetemeko ijapo najua hata sahivi yuko site ( jimboni) akiendelea na ziara zake na hata wewe ukifungua hizo blog utamwona

Achia hii ya mara baada ya tetemeko, ingia hizo blog anzia mwezi January mpaka juzi kabla ya tetemeko ukaone ni kwa kiasi gani huyu mh. yuko site mda wake mwingi. Hivi vitu si stori za mtaani, we tafuta hizo clip halafu baada ya hapo njoo hapa unipinge ninachokisema

Tujifunze kama na yeye alivyojifunza, ..tujifunze kusema na tujifunze pia, kuukubali ukweli. Kumsema mwenzio yasiyo kweli tukumbuke pia, ni kosa kubwa kwa Mungu, tukiwa na Mungu daima tutausema ukweli na kuukana ulongo
Wacha mambo ya blog, sisi tupo huku bukoba mimi nipo kiziba kabisa huyo mtu ni wa hovyoooo kabisa
 
Sijaona mahali unapomsifu kwa kutatua kero ama kufanya jambo linalochochea maendeleo. Unamsifia kwa kutembea jimboni?? Unataka nass tusifie hilo?? Nenda Hai ukaone mbunge wao anavyohamasisha kilimo,elimu,usafi,mazingira,afya nk.
Ivi nikweli Kagera ndomkoa masikini zaid Tz??naomba kujua
Ni wangapi hata miaka 5 inaisha hawaendagi kuwatembelea wapiga kura wao?
 
Mh. Kamara uko wapi Mbunge wetu?

This was posted on 14 September 2016
"Wananchi wa jimbo la NKENGE hasa wa vijiji vya Kitobo na Bugandika na baadhi ya sehemu mbalimbali za wilaya ya Misenyi tumepatwa na madhara ya tetemeko la ardhi kwa baadhi ya majumba kuanguka, kubomoka na mengine yamejaa nyufa nyingi tu lakini hadi sasa hatujakuona mbunge wetu Mh Kamara.
Uko wapi Mbunge wetu?"

Alafu unasema huna chama ila bado unaonyesha ulivyo na chama kama sio hivyo haya maneno yana uhusiano gani na hoja hii
"Na huu ndo wehu wetu sisi watanzania, fulani akihisi anapendwa basi mikono yote huweka mfukoni na matokeo yake tunakuja kujuta baadae, na tumeyaona haya kwa akina Mnyika, Lema, Mdee n.k ni mfano mzuri kwa yaliyowapata mwaka jana".

Majina ya watu si ya chama na mie sihitaji kuwa na vyama "vyao". Nilikuwemo ila ni bora usipokuwemo.
Hilo bandiko ni la septemba baada ya tetemeko, na mie nimeongea trend yake tokea January. Mbona hurudi tokea Januari ukaleta mazuri yake?

Haiwezekani asiwe na mapungufu na hao mnaowataja kama lisingetokea tetemeko mngeliwaona lini? ama walisubiri janga kwanza ndo iwe upenyo wao?

Hao niliowataja wabunge ni kwasababu ndio ukweli. Hatuna wabunge iwe CCM/upinzani waliokuwa machachari na kupendwa kama hao tokea 2010-2015 na sababu zipo. Kama wapo wengine na si hawa wewe mwenyewe utusaidie kuwataja. Kwenye haya yangu ya mwisho nilimtaja Nassari pia, mbona nilipomtaja huyo hukuhoji? ama Nassari na Muhongo ni chama kimoja?

Nimesema sihitaji na usinilazimishe nifate siasa zako za vyama lakini pia siwekewi mipaka na mtu kuwataja watu baadhi katika kuonesha msingi wa nini nakisema. Na kila niliyemtaja, yawezekana ukatafsiri kivyako lakini wote hao nimewataja positively pasi kujari ma vyama yao
 
Wasalaam Watanzania nyote.
Leo nina jambo moja la kumhusu huyu Mh.Mbunge wa jimbo la Misenyi Nampongeza sana huyu mzee.

Kwanza niseme wazi, (mie sina chama) ila ninao utashi tu wa kumuangalia mtu mmoja mmoja kwa kadili ya matendo yake na hasa katika nafasi yake. Binafsi naamini kabisa approach yangu hii inanisaidia sana, nakuwa huru mda wote kupongeza na kusifia yeyote yule ama kukosoa na kamwe sibanwi na mipaka ya vyama "vyao".

Tokea uchaguzi umalizike na huyu mzee kuibuka kidedea, kuusema ukweli pasipo kuuma maneno na wala kumuonea mwingine, huyu mh. kweli ni kati ya wabunge wachache sana kutoka CCM na hata upinzani wanaoifanya kazi yao. Na hata staili yake anayoitumia ya kelele kidogo na matendo mengi a.k.a mzee wa kimya kimya iko safi sana.
Hadi kufikia leo, ni mbunge pekee kutoka mkoa wa Kagera aliyeweza kulizunguka jimbo lake kwa zaidi ya mara tatu.

Nimesoma na kuzidi kumfatilia baada ya kuvutiwa sana na anavyokuwa karibu na wanajimbo wake, huyu mzee anastahili pongezi hata kama hana anachowapa. Ninajiuliza kwa wapinzani, achana na mizigo ya CCM ambayo tumeshaizoea, ni kwanini wa upinzani walio wengi hawana spirit ya kutumikia vyeo vyao zaidi ya kuonekana wako busy na kuratibu maandamano kana kwamba waligraduate katika kuandaa maandamano

Kwa wapinzani na Lwakatare akiwemo, wanatakiwa kuelewa mahitaji ya jamii za watu wao na mahitaji yao, bora liende na mob politics havitawasaidia kamwe. Nendeni majimboni mkafanye kama Nassari a.k.a dogo janja, nendeni mkafanye kama Prof. Muhongo, fanyeni kama Dr. Diodorous Kamara. Mkitaka kuendelea kuwa wauza sura mijini mtambue 2020 siyo mbali na watanzania hawatasita kuchukua maamuzi "sahihi".

Atakaye mwona Mh. Mbunge huyu naomba ampe salaam zangu nyingi.
Wahi Milembe kabla hujazidiwa. Au ndugu zake mpelekeni Milembe kukwepa kazi ya kushinda mmemfunga kamba na kumlisha. Dalili zote zinajionesha kwenye post hii
Mkichelewa mtashindwa kufanya kazi.
 
Nimechanganya majimbo, nisamehe kwa hilo. Ila narudia kusema tena, kwanza jimbo lake siyo jimbo nakotokea mie na pili sijamsema kwasababu yoyote ile iwayo nje ya kazi yake.

Ukitaka kunielewa vizuri na kumwelewa kwa usahihi tafuta clip kupitia Jamco.blog ama Bukobawadau.blog ndo utaelewa mie siko katika kuongelea tetemeko ijapo najua hata sahivi yuko site ( jimboni) akiendelea na ziara zake na hata wewe ukifungua hizo blog utamwona

Achia hii ya mara baada ya tetemeko, ingia hizo blog anzia mwezi January mpaka juzi kabla ya tetemeko ukaone ni kwa kiasi gani huyu mh. yuko site mda wake mwingi. Hivi vitu si stori za mtaani, we tafuta hizo clip halafu baada ya hapo njoo hapa unipinge ninachokisema

Tujifunze kama na yeye alivyojifunza, ..tujifunze kusema na tujifunze pia, kuukubali ukweli. Kumsema mwenzio yasiyo kweli tukumbuke pia, ni kosa kubwa kwa Mungu, tukiwa na Mungu daima tutausema ukweli na kuukana ulongo
H

Hata alipokuwa Ambassador huko ulaya, Bukoba Wadau ilikuwa kila siku lazima imuweke siyo hapo tu, hata alipokuwa waziri, BW ilikuwa lazima itaangaze anachofanya. Wote ni wafuatiliaji wa blogs tunaelewa mabloggers na interest zao hivyo usiseme yeye ndo anafanya kazi. Lwakatare alikuwa wa kwanza kutoa misaada BK mjini katika zahanati na hospitali, vilikataliwa kwa amri toka wakubwa ingawa vituo vingine vilipokea. Lwakatare alikuwa wa kwanza kutembelea waathirika wa tetememeko pamoja na mbunge wa viti maalum. Hawa wabunge hawatembei na camera kama huyo unayemtaja sababu wanafanya kazi kwa kujituma siyo kuuza sura. Sote tunafuatilia matukio na mendeleo ya nchi siyo wewe peke yako.
 
Umeandika utumbo mtupu......hivi bado ni balozi?? Tueleze ametembelea kata gani alijibu hoja gani??...je kabla ya tetemeko alitembelea wapi ??? Na kwa wananchi waliopata hadhari za tetemeko amewasaidia nini kama mbunge? ..najiuliza wewe ni Katibu wa mbunge au ni mtoto wake?? ...nadhani lengo lako lilikuwa umtaje rwakatare tu basi ..mbona hujamsema mh..rweikiza wa ccm,tibaijuka wa ccm,bashanga karagwe ccm..acha kutumika utaliwa
 
Acha kupotosha, Kamala na Kyerwa wapi na wapi? Huyu ni mbunge wa Nkenge. Hiyo kutembelea wapiga kura wake ni kwasababu ya tetemeko la ardhi vinginevyo hana tofauti na wabunge wengine walio wengi.

Lazima ajipendekeze sana maana hatosahau tulichomfanyia mwaka 2010 kwa kumpitisha Assumpta Mshama baada ya kutudharau kwa kutuambia tule kima (Tulye e'nkende).
Kwa hiyo safari hii mkaikilizangana nawe kwamba nimulya enkende?
 
Majina ya watu si ya chama na mie sihitaji kuwa na vyama "vyao". Nilikuwemo ila ni bora usipokuwemo.
Hilo bandiko ni la septemba baada ya tetemeko, na mie nimeongea trend yake tokea January. Mbona hurudi tokea Januari ukaleta mazuri yake?

Haiwezekani asiwe na mapungufu na hao mnaowataja kama lisingetokea tetemeko mngeliwaona lini? ama walisubiri janga kwanza ndo iwe upenyo wao?

Hao niliowataja wabunge ni kwasababu ndio ukweli. Hatuna wabunge iwe CCM/upinzani waliokuwa machachari na kupendwa kama hao tokea 2010-2015 na sababu zipo. Kama wapo wengine na si hawa wewe mwenyewe utusaidie kuwataja. Kwenye haya yangu ya mwisho nilimtaja Nassari pia, mbona nilipomtaja huyo hukuhoji? ama Nassari na Muhongo ni chama kimoja?

Nimesema sihitaji na usinilazimishe nifate siasa zako za vyama lakini pia siwekewi mipaka na mtu kuwataja watu baadhi katika kuonesha msingi wa nini nakisema. Na kila niliyemtaja, yawezekana ukatafsiri kivyako lakini wote hao nimewataja positively pasi kujari ma vyama yao

Hivi kwa mtu mzima wa afya "Physically fit" unaweza kusimama na kuweka points za Kitchen Party na kumpongeza huyu Kamala.

Politically dead!!! Ushabiki huu usiokuwa na macho utakufikisha chumbani kwa mwanaume mwenanzako.

Hivi mbona amezeeka ghafla? Ni majukumu ya kutembelea jimbo au?

Watu wana akili wanatambua "ZE KOMEDI" ni nini.

2020 sio mbali. Kila mtu atavuna alichopanda.

Pole.
 
Back
Top Bottom