Hospitali ya Taifa Muhimbili imemtunuku tuzo ya heshima ya udaktari bingwa bobezi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ikiwa ni kutambua na kuthamini mchango wake mkubwa katika mageuzi ya huduma za Afya Nchini.
Soma Pia: Rais Samia atunukiwa nishani ya heshima nchini Afrika Kusini
Tuzo hiyo imetolewa kwenye hafla iliyowakutanisha Madaktari na wauguzi Bingwa bobezi Machi 28, 2026 kwenye Hoteli ya Johari Rotana jijni Dar es salaam