Na hizo harusi zake huwa watu wanachanga au simple tuuuu! Huyo aliyekuwa kiboko yake ni mchopanga mtu mzima yule alikuwa dawa yake....kidogo alikaa nae..halafu kuna watu wananichekesha sana eti ana bahati ya kuolewa...mbon zakehizo zinawezekana tu...baby nioe basi shela kwangu...ukumbi na mahali najitolea ..na wapenda vya bure walivyo wengi....ataolewa mpaka wakodisha shela wachoke! Hongera edzen ila ukaze moyo mana iyo ni habari ya mjini ati!![/QUOTE
kweli kabisaaa, wapenda vya bure wako kibao. mahari jitolee mwenyewe, ukumbi lipia mwenyewe na shela nunua mwenyewe. mkitoka harusini anahamia kwako! wanawake wengi hapa mjini wao ndo waliooa waume zao lol