Hongera Diamond na Neyo!!!!!

Tumeanza kuota ndoto za Grammy!

Basi hapo watoto wa kariakoo tunawakeraaaaa! Mnanunaaaaa, hamtupendiiiiiiiiii..

# wcb # winners cycle
Thubutuuuuuuu!
Siku Diamond akichukua tuzo ya Grammy (kama nitakuwa bado) nitakuwa radhi kuolewa nawe bila mahari

Yessss...bureee!
 
Kaeni tz mkipiga majungu chibu huyooo anakata anga na hivi anasupport ya UMG...
 
Seriously, tukaandikishane tu.
Najiamini maana najua haiwezi tokea.

Grammy?
Endeleeni kuota.
Aiseee! Hizi bahati hazijagi mara mbili.. Naona kila dalili za ng'ombe zetu 40 kubakia home tunabeba mtoto bureeeeeee..

Nikirudi, naanza kukesha sinza wcb kupush mikakati ya kuingiza single kwenye chat za billboard.. Baada ya hapo Grammy becomes a reality..

Jiandae kusani makubaliano next week
 
You made my day,nimecheka mpaka nimegalagala.

Thank you
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom