martini enock
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 635
- 274
- Thread starter
-
- #21
Endelea kula bata mkuu!Nimependa hizo channeli za kiroho kama Agape tv na Trenet ila kwasasa nazipata kwenye TING maana wameachia hizo zote free ukiwa na receiver ya HD yoyote.
Continental wamenikosha roho YanguNaona startimes wamebugi, channel zinaonekana free kwao hadi kwenye vingamuzi vya continental unapata channel za startimes
Kipendacho roho ni dawaOver my dead body siwez kuangalia chanel za star tv au tbc hata wakiniletea bure
Nimekuelewa mkuu ila naogopa kuvurunda ahsante mkuuUnachotakiwa kufanya
Badilisha kwanza uelekeo Kama bado hujabadilisha ubadilishe dish lako lielekee mashariki
2, Ingiza freequnce 11665
Symbole rate 45000
Polarization v
Baada ya hapo utaona channel 46
Ingiza tena
Freequence zingine kwa satellite
Yoyote ile iwe Amos au asiasat
Ingiza freequence hizi hapa 11596
Symbole rate 30000
Polarization v
Baada tu ya muda wa sekunde 30
Utapata channel 102 bila wasiwasi
Channel 56 hizo zote no Bure
Channel zile za awali 46 ni zakulipia
Nadhani utakuwa umeelewa mkuu!
Fox sports na fox sports2 tu ndio za msingi hapoSioni hata chaneli ya maana kati ya hizo ulzotaja, anyway inategemea na mtumiaji mwenyewe kwani kibaya kwangu kizuri kwa mwingine.
Kumbe unasemea TING hapo basi ni angle moja 11596 H 30000 ni TP ya TINGUnachotakiwa kufanya
Badilisha kwanza uelekeo Kama bado hujabadilisha ubadilishe dish lako lielekee mashariki
2, Ingiza freequnce 11665
Symbole rate 45000
Polarization v
Baada ya hapo utaona channel 46
Ingiza tena
Freequence zingine kwa satellite
Yoyote ile iwe Amos au asiasat
Ingiza freequence hizi hapa 11596
Symbole rate 30000
Polarization v
Baada tu ya muda wa sekunde 30
Utapata channel 102 bila wasiwasi
Channel 56 hizo zote no Bure
Channel zile za awali 46 ni zakulipia
Nadhani utakuwa umeelewa mkuu!
Mkuu wapata channels ngapi..na zipi.!?Karibuni na huku pia.
Tunakula chatu kwa mrija.
Hii isikuumize kichwa ndg yangu. Angalia hapa kila satellite na channel zake.Mkuu wapata channels ngapi..na zipi.!?
Na zile za kipuuzi za star ,,,star,,,,star,,,,star...... Bado zipo?
Channel nyingi hadi zimewashinda kuzimanage, wanarudiarudia vipindi kwa wiki kipindi kimoja kinajirudia mara 10
ndugu yangu . hicho ndicho kilichonifanya nikiweke pembeni hicho kingamuzi chao. hata sijaenda kukisajili labda wabadilike.nkajua inanikera peke yangu kumbe inakera wengi!! star zipo kibao yani hata JF ingekua chini ya continental basi wangeanzisha na Star Jamii
Mkuuu hapo unapata channel za discovery. Nat geo na animal planet.!?Karibuni na huku pia.
Tunakula chatu kwa mrija.
itumbukize kwenye maji iache kwa siku 2 ukiitoa itakua isharecovermsaada wanajamvi smartphone yangu ya samsung nikiwasha inaanza proccess zote za kuwaka ikifika kwenye hatua ambayo screen inaonyesha neno sangsung basi ina baki hivyohivyo aizimi wala kuendelea ila inabaki hivyo hivyo ikiandika neno samsung itakuwa inashida gani jamani simu yenyewa hata mwaka akajamaliza.
Samsung aina gani?msaada wanajamvi smartphone yangu ya samsung nikiwasha inaanza proccess zote za kuwaka ikifika kwenye hatua ambayo screen inaonyesha neno sangsung basi ina baki hivyohivyo aizimi wala kuendelea ila inabaki hivyo hivyo ikiandika neno samsung itakuwa inashida gani jamani simu yenyewa hata mwaka akajamaliza.