Hongera CCM

acha kubwabwaja tu kwa maneno meeengi mwaga data (figures) ili kuonyesha kwamba sisimu imefanikiwa. Kusema tu mmefanikiwa zaidi kushinda 2010 haitoshi bila ya analysis with respect to figures
 

Wewe nawe umefubaa kama jina lako.. Comments kibao hujaziona zilizokuja na hoja zilizoainishwa vizuri pamoja na data ambazo zimetoa majibu mazuri kwa uzi ulioletwa ambao hata hivyo haukupaswa kujibiwa kwa kuwa wenyewe tu ulikuwa haujitoshelezi kwa maana ya kukosa data na mchanganuo..

Mfano refer to Post No: #3 .. #6 .. #3 1.. #51 .. #57 .. #76 ..

Kwa taarifa tu ni kwamba ukitukana hapa JF unapata kifungo.. Mwisho kabisa ninakupa ushauri uache unafiki kwa kauli yako hii "Napenda kuona upinzani ukikuwa Tz"
 
Mwanzoni Ccm Arusha ilikuwa Mbuyu tukashuka na kuwa mchicha, sasa tunaanza kutokea kwenye mchicha kuelekea kuwa Mbuyu. "hata mbuyu ulianza kama mchicha" by Juliana Shonza.
 
Last edited by a moderator:

Ni ishara kuwa wanajiandaa kuwa chama cha upinzani, hivyo huo ndio mwanzo wao. Pili, huyu dada hana kumbukumbu za kutosha kuwa mwaka 2010 ccm ilipata kura ngapi? Akikupa jibu muulize uwiano wa matokeo hayo na haya ya sasa kama hatoishia kukaa kimya.

Kwa ujinga wake huyu Funza ni kuwa ccm imefanya vizuri katika chaguzi za udiwani zilizofanyika tarehe 16 Juni mwaka huu. Anaeleza ktk maelezo yake kuwa walipoteza viti vinne (4) lakini kwake bado ni ushindi tu huo. Anahitaji msaada wa kisaikolojia.
 
siamini kweli kama huyu alikuwa ndani ya chadema,kweli kuna baadhi ya wanasiasa wa Tanzania wanachekesha na kuhudhunisha sana,,,,
 
Nawaona watanzania wanavyofanya makosa 2015;" Makosa ya kuchagua upinzani au ya kuirudisha CCM!!!!!!!!!!!!":help:
 
Usipoisifia ccm mkono hauendi kinywani??,,, hicho ndo kinachowaua MAGAMBA mnapenda kusifiwa na kujisifu hata pale mlipokosea na kupotoka!! Hongera kwa kujisifia kwa kujipaka mafuta kwa mgongo wa chupa!!
 
Ivi ni kweli Shonza ni demu wa Mwigulu? nasikia hizo tetesi, natamani kujua kama ni kweli jamani!
 
Juliana Shonza Hongera sana. Wewe na Mwigulu Nchemba mnaiandaa vyema CCM KUFA. Ni kazi ambayo wengi walijaribu bila mafanikio mazuri. Kasi yenu ni njema sana kwa mstakabali wa taifa.
Ushauri wangu though ni kwamba CCM ikishakufa, Nyie wawili mkae pembeni, wapatikane watu wengine vibrant watakaofufua chama kingine ili tuwe na upinzani wenye afya.
Cc Nape Nnauye
 
Last edited by a moderator:

mtu alopata 0 kwenye mtihani wa kiswahili hawezi kujua ni wapi atumie msemo upi wa kiswahili. haya ndo matunda ya elimu ya miaka ya hivi karibuni.
 
Magwanda yanachojua ni mitusi tu. Si ilizaliwa Kariakoo mijitu mingine humu.

Radhia, hivi unapotukana watu waliozaliwa kariakoo unajua unatukana watu wangapi na ambao wengine ni wa muhimu sana kwako?

Unadhani huo uduni wowote unaouona kariakoo ni nani aliyeuasisis kati ya CDM na CCM? Ona mbele ya wigo wa ushabiki wa kisiasa.
 
Chezeya Elimu Mulugo Mkuu!!!!

 
Nakuunga mkono mtoa hoja, nyinyiem ni nambari wani kwa yafuatayo:-
1. Wizi wa kura,
2. Ujambazi,
3. Utekaji wa watu mashuhuri,
4. Uimbaji (Hapa Konpa atajisikia vizuri)
5. Utoroshaji wa wanyama pori wetu (Yuko wapi Msomari?)
6. Uingizaji wa siraha kinyemela ili kuua raia wasio na hatia (Chembe upo?)
7. Ahadi za uongo kwa wananchi (Mwenye kigoda namba 1)
8. Utoaji rushwa (hapa ni viongozi karibia wote)
+ Ongeza sifa nyingine za unambari wenu - si mnajuana.
 
Ni bora kunyamaza kuliko kusema chochote unapokuwa hujui maana ya kitu. Viti 5 vya CCM vilichukuliwa na CDM na imedhihirika kuwa CDM ina nguvu na pia wananchi waliafiki kuwafukuza kitendo cha CDM kuwafukuza madiwani waliowachagua 2010 otherwise wangewaadhibu CDM kwa kitendo hicho as ni wao waliowachagua.
 
Radhia, hivi unapotukana watu waliozaliwa kariakoo unajua unatukana watu wangapi na ambao wengine ni wa muhimu sana kwako?

Unadhani huo uduni wowote unaouona kariakoo ni nani aliyeuasisis kati ya CDM na CCM? Ona mbele ya wigo wa ushabiki wa kisiasa.

Tofautisha mtu na chama au taasisi, yawezekana kabisa kuna mengi yamefanywa na mtu kipindi akiwa ccm lakini kwa sasa ni chadema, sasa utasema alofanya mtu akiwa ccm basi kilifanywa na ccm? jibu ni HAPANA.

Ndo maana tunashindwa kuwaelewa walobaki ccm kama kweli wana uwezo mzuri wa kufikiri au wamekaririshwa tu. Huwa nashindwa kumwelewa mtu anayesimama kwa mavazi ya njano na kijani akatamba kwamba wao ndo wenye nchi.
 

m-pm...........
 
Juliana, hivi taaluma yako ni nini? Kwa nini unalazimisha siasa ambayo ni dhahiri huwezi? Nakushauri utafute kitu ingine ufanye aisee. Hizo kampani za mwiglu mtazitengeneza na yamkini zikawa na radha nzuri zaidi kuliko zinavyozidi s kukudidimiza kwa sasa. Kama unang'ang'ania siasa za ccm ili upate arena ya kukichapa makofi CHADEMA kama njia pekee ya kurudisha kisasi na kupoza machungu yako ya kufukuzwa huko, umepotea.

CDM hakifi kwa sababu no body trusts you na hata ccm hawakuamini ila wanakutumia tu kwa kuwa wote mna common interest against CDM kwa kuwa kimekuwa tishio kubwa kwa maslahi yenu.

Lakini amin usiamini ccm watakuweka bench na wala hawatakupa kazi ya maana kwa kuwa huaminiki. Wanajua wao ni wachafu kuliko cdm. Wakikusogeza jikoni si kuna siku moja tabia yako iliyokufukuza cdm utaifanya kwao na watakapo kufukuza ama kuku deal utajiunga na kingine na kuanza kuwananga?

Hapo lazima ujiandae kuokota makopo.

Acha kulazimisha siasa ili kufanya uovu. Tafuta shughuli unayoiweza ya kitaalam kama unataaluma ufanye ili uondoe frustration na uchangie maendeleo ya taifa. Hilo pia litakusaidia ana mahusiano lazimishi ya mwigulu ambao kazi yao ni kuharibu.

kazi kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…