Hongera CCM

tafute mume uolewe
CCM unayoiabudu haiwezi kukuoa.
kirusi utabaki kuwa kirusi tu
hata huko uliko kirusi chako kilishaanza kuharibu chama
Punde watakutupa hapa chini
 
Hivi wewe unaongea kama nani? naomba nikukumbushe CCM inawenyewe na wenyewe ni sisi wewe haupo. pole
 
Juliana anatafuta maisha, na ameona dau kubwa zaidi lipo ccm, hakuna lingine;
 
Girl friend wangu alikuwa anasoma chuo alichokisoma huyu Shonza akaniambia kuwa baadhi ya Maprofessa walioko pale kama walivyo kwenye chuo nilichokisoma mimiwalikuwa wanatabia ya kuwalala kwanza wadada hasa wale wasio na misimamo ili wapate marks.Sasa ninafanya uchunguzi huru kujua wale ambao hawana msimamo kama huyu walifanyweje manake kama huko kwenye jembe na nyundo wanapewa fedha tena nyingi tu sijui inakuwaje!!
 

Ukitaka kuona graduate anapata aibu afanye mitiani ya bodi siku hizi degree ni kama makalio kila mtu anayo sishangai shoza anavyoandika bila kutafakari
 
ukitaka kuona graduate anapata aibu afanye mitiani ya bodi siku hizi degree ni kama makalio kila mtu anayo sishangai shoza anavyoandika bila kutafakari

ana degree ya pichu!
 
Kiukweli tulikuwa tunaidharau jf, lakini amini usiamini, mabandiko kama haya, yamesaidia saidia, huwezi jua!. Zamani nilikuwa napitia mabandiko yako kwa dharau na kujibu kwa kejeli, lakini baada ya uteuzi, sasa napitia mabandiko yako yote kwa makini zaidi, heshima na adabu haswa kwa kuzingatia wewe sasa ndio bosi wangu kwenye tasnia ya habari.

Karibu Boss, Mheshimiwa saba, Bi Juliana Shonza.

Paskali.
 
Unatumia nguvu nyingi kuandika hadi unajinyea, chapisho lako lote linanuka nnya.
 
Uteuzi wa kupeana peana tu

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…