1. Lisu kwa upumbavu wako umipa CCM ushindi!
2. kulikuwa na haja gani ya kuitisha press?
3. kama ulisema mara 100, kuwa hutagombea Uenyekiti, leo umegeuka Jiwe, ni kuwa HUAMINIKI
Mbowe pia aliahidi kwa kinywa chake kuwa 2023 atang'atuka. Pengine mleta mada ungemtendea Lisu hata nusu ya adabu kama ungehoji kwann Mbowe hajang'atuka hadi leo.
1. Lisu kwa upumbavu wako umipa CCM ushindi!
2. kulikuwa na haja gani ya kuitisha press?
3. kama ulisema mara 100, kuwa hutagombea Uenyekiti, leo umegeuka Jiwe, ni kuwa HUAMINIKI
kapigiwa simu juzi na Adv. Bob Robert Amsterdam msemaji wa mabwenyenye ya magharibi, kwamba lazma kwanza agombee na lazima awe mwenyekiti wa chama cha siasa kabla hawajambackup kwa pesa mingi sana kwajili ya kampeni za urais ,
so,
Lisu asilaumiwe, ni shinikizo na agizo kutoka magharibi kwa mabwenyenye yanayolea familia yake huko ng'ambo π