Hongera CCM Kufuata Nyayo za CHADEMA

Hongera CCM Kufuata Nyayo za CHADEMA

Inashangaza sana kuona chama kama CCM kinachojigamba kama chama tawala 'kimeamua kuchakachua mambo muhimu ya kitaifa na kuamua kuacha wataalamu wake katika public hearing na kuamua kupeleka vitoto vya shule ya msingi' kweli hii ni ISHARA YA KUISHIWA akili, uwezo, ueledi, maadili na kila aina ya fikra pevu! Hongera CCM kwa kuamua kufa kifo cha kujitakia
 
Haaa yaani tambwe hiza ni duanzi kiasi hicho alikusanya watoto wa chekechea duh kazi ipoo
 
Jamani nashindwa kuweka post mpya, nimemsikiliza rule mtu wa redet tbc 1, leo kaweka wazi kuwa ni mwana ccm damu. Katika maongezi yake alikuwa anasema tulikuwa jumuia ambazo zilikuwa na nguvu....

Hata Mbowe na Slaa wenyewe waliimba zidumu fikra za mwenyekiti wa CCM, walikula kiapo cha uaminifu kwa CCM, na waluwa wanachama wa jumuiya za CCM.

Wewe uliyezaliwa kuanzia mid 1980s sukuru Mungu hukuwa mwanaCCM by default.
 
Chama Cha Demekrasia na Maendeleo aka CHADEMA kimepata uungwaji mkono mkubwa sana katika kada ya Wasomi Tanzania, Hali hiyo imejidhihirisha Siku za karibunu ambapo kumekuwa na Wimbi kubwa la Wanafunzi wa Vyuo vikuu kukiunga Mkono CHADEMA. Katika Mjadala wa Muswada wa uundwaji wa Chombo kitachosimamia uundwaji wa Ktiba Mpya Mbunge Jasiri Godbless Lema alifanikiwa kuwahamasisha Wanavyuo Dodoma kuhudhuria kwa wingi katika uchangiaji wa Muswada huo.

Sasa naona CCM nao wanaiga, na kwa kuanzia Think Tank ya CCM iliamua kufanya jambo lifuatalo

CCM iliamua kuwafata Wasomi wa Shule za Msingi na Chekechekea na kuwahamasisha waje kwa Wingi Viwanja vya Karimjee ili watoe Mawazo yao. Katika Hili la kuvileta Vitoto napenda kuipongeza CCM na Think Tank Nzima ambayo inaongozwa na Tambwe Hiza.

Hongera sana CCM maana tuliona namna vile vitoto vilivyokuwa vinachachafya Ukumbe kwa Hoja zao Nzito

Hata watoto hawataki kuona haya magwanda ya kijani. Watoto wenyewe hawana vyakula na mahitaji ya shule kwa sababu ya chama kimoja tu sisiem. Watatafuta mercenaries nyie ngoja tu, Gadaffi si katoa fundisho kwa viongozi AU.
 
Back
Top Bottom