Hongera CCM Kufuata Nyayo za CHADEMA

Albedo

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
5,559
1,452
Chama Cha Demekrasia na Maendeleo aka CHADEMA kimepata uungwaji mkono mkubwa sana katika kada ya Wasomi Tanzania, Hali hiyo imejidhihirisha Siku za karibunu ambapo kumekuwa na Wimbi kubwa la Wanafunzi wa Vyuo vikuu kukiunga Mkono CHADEMA. Katika Mjadala wa Muswada wa uundwaji wa Chombo kitachosimamia uundwaji wa Ktiba Mpya Mbunge Jasiri Godbless Lema alifanikiwa kuwahamasisha Wanavyuo Dodoma kuhudhuria kwa wingi katika uchangiaji wa Muswada huo.

Sasa naona CCM nao wanaiga, na kwa kuanzia Think Tank ya CCM iliamua kufanya jambo lifuatalo

CCM iliamua kuwafata Wasomi wa Shule za Msingi na Chekechekea na kuwahamasisha waje kwa Wingi Viwanja vya Karimjee ili watoe Mawazo yao. Katika Hili la kuvileta Vitoto napenda kuipongeza CCM na Think Tank Nzima ambayo inaongozwa na Tambwe Hiza.

Hongera sana CCM maana tuliona namna vile vitoto vilivyokuwa vinachachafya Ukumbe kwa Hoja zao Nzito
 
Sio muda mrefu hao pia watangungdua fix na watahamia CDM. Kumbuka UDOM walimlipia JK fomu ya kugombea urais, miazi michache baadaye wamegundua huyo sio mwenzao. Na hasa wakigundua joka likivua magamba linaendelea kuishi na kuendeleza yaleyale.
 
Jamani nashindwa kuweka post mpya, nimemsikiliza rule mtu wa redet tbc 1, leo kaweka wazi kuwa ni mwana ccm damu. Katika maongezi yake alikuwa anasema tulikuwa jumuia ambazo zilikuwa na nguvu....
 
Nasikia na CCM wamemtuma Sofia Simba kwenda Udom kimyakimya
 
Hakika huo ndio mwanzo wa kifo cha CDM,akina Nape wanaenda kununua sanda la kuzikia chadema. maana kwa jinsi yule mhadhili wa UDSM alivyokuwa akielezea, nimeamini plan yao ni kiua CDM mwanzo mwisho.
 
Hakika huo ndio mwanzo wa kifo cha CDM,akina Nape wanaenda kununua sanda la kuzikia chadema. maana kwa jinsi yule mhadhili wa UDSM alivyokuwa akielezea, nimeamini plan yao ni kiua CDM mwanzo mwisho.

Ha ha ha haaaaaaa! Nimecheka Mpaka Mbavu zinauma, Nangoja Week ijayo CCM waanze safari za Kutembelea Vyuoni! Wasi wasi wangu ni kwamba wasije tu wakashangazwa na Kugungua kumbe walichojivua ni Gamba tu na siyo Sumu waliyonayo ha ha haaa
 
Nasikia na CCM wamemtuma Sofia Simba kwenda Udom kimyakimya

mie siungi mkono wana siasa kuwatumia wasaka degree. Mie ningependa wawaache watumie muda wao mwingi kujijenga kielimu zaidi, kwani tunawatarajia hao ndio viongozi wa baadae.
 
Chama Cha Demekrasia na Maendeleo aka CHADEMA kimepata uungwaji mkono mkubwa sana katika kada ya Wasomi Tanzania,
CCM iliamua kuwafata Wasomi wa Shule za Msingi na Chekechekea
avatar9456_3.gif

Nilikuwa sirias nilipokuwa naanza kusoma, nilipofika kwenye RED nikastop, nikacheka sana alafu nikachungulia AVATAR ndo ikamaliza kazi.
U made my day Albedo.
 
mie siungi mkono wana siasa kuwatumia wasaka degree. Mie ningependa wawaache watumie muda wao mwingi kujijenga kielimu zaidi, kwani tunawatarajia hao ndio viongozi wa baadae.
Unamaanisha wale wa Karimjee? Nimekuelewa.
 
Kifupi ni Kwamba CCM is Dead! Na Chanzo cha CCM kufa si Viongozi wa Chama bali ni Serikali iliyoshindwa Kuwajibika, Wanachofanya CCM sasa hivi ni kujaribu kutafuta watu wanaoweza Kujibu Hoja za CHADEMA, ila katika hiyo Safu kwa Ujumla wao hawawezi Kushindana na Mtu kama Zitto au Mnnyika wakiwa Peke yao.

CCM ni Sikio la Kufa Kinachofanyika sasa hivi ni Kutapata na Kujaribu kumpa Mgonjwa Oyxgen ili achelewe Kufa! Ila CCM shakufa tayari
 
mie siungi mkono wana siasa kuwatumia wasaka degree. Mie ningependa wawaache watumie muda wao mwingi kujijenga kielimu zaidi, kwani tunawatarajia hao ndio viongozi wa baadae.

Ni kweli kabisa wawaache wasaka Degree wajikite kwa Watoto wa Shule za Sekondari! Kwanza wale watoto Jioni walienda Kuchapwa na Kaka zao na Wazazi wao
 
Tatizo wanaiga na hawajui kuiga vizuri........

Waje CHADEMA tuwafundishe mikakati na ndio maana kijana wao Riz anaikubali CHADEMA kwenye suala zima la mikakati (Check Signature yangu)
 
Wenzao wanawekeza kwa wasomi wenye elimu ya Juu wao wanaekeza katika Shule za kata, hafalu shule zenyewe zinafelisha:A S 2152: chama cha majambazi kusheni:rip:
 
mie siungi mkono wana siasa kuwatumia wasaka degree. Mie ningependa wawaache watumie muda wao mwingi kujijenga kielimu zaidi, kwani tunawatarajia hao ndio viongozi wa baadae.

halo umefikiria vibaya,bila kuwa na siasa madhubuti yenye misingi imara na ya haki hata hiyo digrii haina msaada
 
mie siungi mkono wana siasa kuwatumia wasaka degree. Mie ningependa wawaache watumie muda wao mwingi kujijenga kielimu zaidi, kwani tunawatarajia hao ndio viongozi wa baadae.

Mr. Mark unadhani elimu ya juu ni kuegemea tu mavitabu na majidaftari?

Engagement kwenye masuala muhimu ya kijamii kama siasa, je siyo mambo ya msingi kwa wanafunzi wa elimu ya juu kujihusisha?

Unakumbuka "BoysIIMen" walianzia wapi (by the way walisema wenyewe wanatoka mbali)?
 
mie siungi mkono wana siasa kuwatumia wasaka degree. Mie ningependa wawaache watumie muda wao mwingi kujijenga kielimu zaidi, kwani tunawatarajia hao ndio viongozi wa baadae.

Jinga wewe, Watasomaje wakati mikopo yao inatafunwa na hao mafisadi SISIEM? wewe una jipya kaa pembeni
 
Back
Top Bottom