Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,545
- 799
Ndugu yetu na mwanaharakati mwenzetu bwana BALILE hatimaye amegraduate jamani tumpeni hongera anazostahili lakini pia tusisahau kuwa the same BALILE aliwahi kuandika makala ambayo haikueleweka vilivyo na baada ya kubanwa aje kujieleza ile thread ilihamishwa
anyway kwa wale ambao mnataka kujikumbusha basi gonga hapa:
Balile Acha Kujipendekeza Kwa Membe - JamiiForums.com
be advised thread is almost 70 posts long...
BERNARD MEMBE will be so proud!
anyway kwa wale ambao mnataka kujikumbusha basi gonga hapa:
Balile Acha Kujipendekeza Kwa Membe - JamiiForums.com
be advised thread is almost 70 posts long...
Mhariri wa Mtanzania, Deodatus Balile, akiwa ameshika cheti chake cha Shahada ya Uzamili bada ya kula nondozz za Uongozi wa Biashara (MSc Business Management) nje ya Ukumbi wa Middleton katika Chuo Kikuu cha Hull nchini Uingereza. Sherehe za kuhitimu zilifanyika Alhamis ya Januari 24, 2008. asante mdau Ansbert Ngurumo kwa picha na hongera balile kwa nondozzz hizo. karibu homu uendeleze libeneke..

BERNARD MEMBE will be so proud!