Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,766
- 14,776
Ubunifu ni uthubutu kwa dunia ya sasa kwenye sekta yoyote, kwa upande wa Azam kwa ujumla kupitia media zao wameonesha umuhimu wa vitu vingi sana vilivyokosa mvuto.
Leo Azam Media imeweza kuimarisha mambo kama maswumbwi ukilinganisha na kipindi cha nyuma, ni mchezo usiojulikana kwa wengi.
Swala la michezo mingine ambayo tuliishia kuona kwa wenzetu sasa Azam anaweza kuonesha na kudhamini. Kwenye sekta ya sanaa nako mmejikita kuboresha na kuleta upinzani mzuri kwenye media nyengine.
Pongezi kwenu.