Hongera Azam FC, lakini...

Kuna fedha wataipata yanga endapo watatokea nafasi ya pili. Azam wanaitafuta nafasi hiyo ili yanga wazikose
 
Luc Eymael. Yanga ni Mbwa na Nyani. Wanapiga tu makelele hawajui mpira. Ubora wa team unapimwa kwa kuchukua Ubingwa na kufika hatua za mbali kimataifa.

Luc Eymael hakukosea.
Unajiaibisha.
Kwa hiyo Namungo ni bora kuliko Azam FC na YANGA?
 
Kumbe kweli hujui unalobishia, we ushaambiwa biriani basi tayari.
Victim OF PROPAGANDA.
Sasa si ungenijibu kunielimisha mimi Utopolo,Nyani na Mbwa nisiyeelewa mpira? Nataka twende taratibu bila mihemko. Ukiwa umetulia umekaa kitako vizuri bila kusumbuliwa na chochote. Maana huko nyuma ulianza hivi nikaona kama umetulia naona umerudisha tena ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Halafu nyie washabiki wa Simbilisi wengi ni mapolisi.
 
Halafu nyie washabiki wa Simbilisi wengi ni mapolisi.
2864830_IMG_3816.jpg

Tatizo umesharudisha hii kitu nyuma. You cant think reasonably. Until you remove it from your **s.๐Ÿ˜‚
 
Back
Top Bottom