Mkomavu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2016
- 11,753
- 16,743
Yanga fanyeni usajili achaneni na habari za simba. Ili muwe bora lazima mfanye usajili wa maana hizo habari mara mliifunga simba mara nyingi hazina maana kama ushindi wenu hausaiidii kuchukua ubingwaunajua maana ya 1 vs 1?
Factors zote ziwe constant, kwa mwaka huu, kwa vikosi hivi Simba na Prisons wamecheza mara ngapi? Nani kamzidi mwenzake mabao?
Simba na Ruvu wamecheza mara ngapi? Nani kamzidi mwenzie mabao?
Halafu ufananishe na Yanga.
Au ukitaka msikilize Ambangile au Shaffi akuhadithie jinsi mlivyoupiga mwingi au biriani au sijui gwaride etc ....
All in all mwaka huu Simba na Yanga wamecheza 4 times Yanga kaibuka mshindi 2 times na Simba ONCE na draw ya chupuchupu.
Tumecheza four times bro, usitongee mambo uchawi, tumia data ku-argue.