Ally Kombo
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 11,429
- 2,645
........... Ukisikia hasidi mwenye hasada ni wewe jeshi la mtu mmoja ! Mwenyezi Mungu atamuepusha na shari yako !Hongera yangu nimeitoa hadharani kila mtu afahamu kama tuzo yake ilivyowekwa hadharani kwa matangazo mbalimbali ili kila mtu ajue.