Hongera Askofu Mkuu wa KKKT Dkt. Shoo, Malasusa achague kushirikiana na Mmuuaji au Kanisa

Mohamed Abubakar,
Mkuu hakuna cha kuandamana. Kama pamoja na tangazo lao hawajasema kamuua nani, ni wa kuchana nao tu. Hata hao wanaowashabikia hawawezi kukwambia kamuua nani!? Ni wa kupuuzwa tu!
 
Le mutuz kaleta waganga wa kienyeji 34 toka Africa ya kati kwa ajili ya kumlinda asitumbuliwe, kufa kufaana Le mutuz anakula pesa za Bashite kama hana Akili nzuri
Hao waganga 34 walikuja na ndege ya shirika gani??
 
Wapendwa ni kwamba katika Waraka wa Kitume ulio tolewa na Maaskofu wa KKKT sikukuu ya Pasaka mwaka jana ulikuwa na ujumbe mzito wenye kutafuta kuliponya taifa ambalo kwa maono ya Maaskofu hao waliokuwa wamefunga katika Maombi ya Mwezi mmoja waliona ni vema hatua stahiki zichukuliwe.

Waraka huo ulijulikana kwa jina la "Amani yetu Taifa letu" uligusia mambo mengi muhimu kwa mustakabali wa taifa. Waraka huo ulipangwa kusomwa ktk Makanisa yote ya KKKT Tanzania siku ya Pasaka.

Katika jambo la kufedhehesha kwa Kanisa ni kuwa Waraka huo haukusomwa ktk Dayosisi ya Pwani ambayo Askofu wake ni Malasusa. Habari za uhakika zinaeleza kuwa Kutosomwa kwa Waraka huo kunatokana na Ushawishi uliofanywa na bwana Daud Albert Bashite kwa Askofu huyo na hivyo basi yeye kuamua kusalimisha Mamlaka yake ya Uaskofu kl Kwa Bashite na kumtii.

Bashite hakuishia hapo tu pia aliandika Barua akishirikiana na Magenge yake ya Uharifu kwenda KKKT akiwataka waufute Waraka huo ambao kwa kiasi kikubwa ulikuwa unakemea Matendo ya uvunjaji wa Haki za binadamu hapa nchini. Lakini chakustaajabisha zaidi ni kuwa Bashite alitishia kulifuta kanisa la KKKT eti kwa kuwa linakemea uovu wao wanao utenda.

Lakini Kama Maandiko yasemavyo Mungu hadhihakiwi, Chochote Apandacho Mtu ndicho atakacho vuna. Mungu hashindani na Mwanadamu kamwe. Marekani wamemtaja Bwana Bashite kuwa kinara wa uuaji, utekaji, utesaji na kupoteza watu hapa nchini.

Ni jambo la kujipima kwa Askofu wa KKKT Dayosisi ya Mashariki na Pwani kuwa anachagua upande upi kati ya kushirikiana na Giza au Nuru.

Maendeleo hayana vyama!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa waMarekani nafikiri wanakaaga na mungu kufanya maamuzi yao, au huenda wamarekani ndio mungu tunaye hubiriwa! Nasema hivyo kutokana na mada yako. Umesema mungu hadhihakiwi! Mara umesema Bashite, mara waamerika na bashite.... Basi wana umungu mungu! Unahusudu wazungu mpaka unafikia kuwa na fikra hizi... Oh shame!
 
Watz tuandamane kushinikiza wamarekani watoe ushahidi juu ya tuhuma kwa mchapakazi ambae wamarekani huenda wanamuonea wivu.

Tuandamane kuwataka wamarekani watoe ushahidi wa tuhuma walizotoa ili tuache ramli, ushahidi wa tuhuma hizo ndio zitakazo amua hatma ya watz kama tuchague kuwapigia kura upande wa Wauuaji au upande wa walioathiriwa na wauwaji.

Wauaji hawahitaji kura kukaa madarakani, wanahitaji jeshi linalowatii, na wazungu kukaa kimya basi.
 
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu, ifike mahali Watanzania tuache unafiki na Mwenyezi Mungu atusaidie. Tatizo watu wengi ni wanafiki kwa kuwa wanalinda ugali wao na siyo maslahi ya taifa. Walio wengi wakijitahidi wanafanya propaganda kwa ajili ya vyama vyao vya siasa. Ni wachache sana wanaoangalia maslahi ya taifa, na hilo ndo limetufikisha hapa tulipo.
 
Wapendwa ni kwamba katika Waraka wa Kitume ulio tolewa na Maaskofu wa KKKT sikukuu ya Pasaka mwaka jana ulikuwa na ujumbe mzito wenye kutafuta kuliponya taifa ambalo kwa maono ya Maaskofu hao waliokuwa wamefunga katika Maombi ya Mwezi mmoja waliona ni vema hatua stahiki zichukuliwe.

Waraka huo ulijulikana kwa jina la "Amani yetu Taifa letu" uligusia mambo mengi muhimu kwa mustakabali wa taifa. Waraka huo ulipangwa kusomwa ktk Makanisa yote ya KKKT Tanzania siku ya Pasaka.

Katika jambo la kufedhehesha kwa Kanisa ni kuwa Waraka huo haukusomwa ktk Dayosisi ya Pwani ambayo Askofu wake ni Malasusa. Habari za uhakika zinaeleza kuwa Kutosomwa kwa Waraka huo kunatokana na Ushawishi uliofanywa na bwana Daud Albert Bashite kwa Askofu huyo na hivyo basi yeye kuamua kusalimisha Mamlaka yake ya Uaskofu kl Kwa Bashite na kumtii.

Bashite hakuishia hapo tu pia aliandika Barua akishirikiana na Magenge yake ya Uharifu kwenda KKKT akiwataka waufute Waraka huo ambao kwa kiasi kikubwa ulikuwa unakemea Matendo ya uvunjaji wa Haki za binadamu hapa nchini. Lakini chakustaajabisha zaidi ni kuwa Bashite alitishia kulifuta kanisa la KKKT eti kwa kuwa linakemea uovu wao wanao utenda.

Lakini Kama Maandiko yasemavyo Mungu hadhihakiwi, Chochote Apandacho Mtu ndicho atakacho vuna. Mungu hashindani na Mwanadamu kamwe. Marekani wamemtaja Bwana Bashite kuwa kinara wa uuaji, utekaji, utesaji na kupoteza watu hapa nchini.

Ni jambo la kujipima kwa Askofu wa KKKT Dayosisi ya Mashariki na Pwani kuwa anachagua upande upi kati ya kushirikiana na Giza au Nuru.

Maendeleo hayana vyama!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni wazi Askofu Malasussa alikuwa wakala wa Dikteta Magufuli, hawezi kumatch na Mch Elionora Kimaro
 
1. Mch. Kimaro amesema ataenda kutumika popote atakapotumwa kwa mujibu wa kiapo chake cha uchungaji.
2. Wale wanaonyoshea kidole KKKT kuwa kuna vurugu na kwao mambo siku zote yamenyooka watafakari kwanini Kiongozi wao ameenda Canada kuomba radhi kwa makabila wenyeji wa huko kwa manyanyaso kwa watoto waliopelekwa watunzwe na Kanisa.
Huko Marekani, ULaya, Latin America vitendo vya ulawiti watoto chini ya uangalizi wa mapadre vimethibitishwa. Kadinali mmoja huko Australia katiwa hatiani kwa kuficha jinai za ulawiti zilizofanywa na mapadre baada ya wahanga kuvunja kimya.
Hapa Tz kuna kesi inaendelea.
Hata kwenye mambo ya fedha skendo za Benki za Vatican zimeandikwa katika vitabu viwili. Usicheke kibanzi ndani ya jicho la mtu, kumbe wewe una boriti jichoni.
 
Sasa Mapadre na KKKT na Kimaro vimeingiliana wapi?? Huyo Kimaro aliokolewa na Mapadre haohao
 
Ziko nyuzi nyingi humu zinazokosoa KKKT na kusifia RC. KKKT wana haki ya kuweka rekodi sawa.
 
RC kama maji ya tu. Usipoyanywa, uyayaoga na usipoyaoga utayafulia. Nyie KKKT ni wana wapotevu, mkirudi tutawapokea tu
 
Back
Top Bottom