Honeymoon..!

Mimba inategemea na siku zake ila hamdanganyi ni ushauri ili hiyo kitu iwe special zaidi! Huyo mke mtarajia amekwisha vuka umri wa kudanganyika!!!!!!!!!
....mie naona mimba ya kwenye honeymoon itaharibu mambo mengi...hebu soma ile thread ya Pape.... jamaa anafukuzwa kila siku..mamey anatapika...
ahhh vipi tena Mwanamayu kumbe wewe unamjua mke mtarajiwa....
 
Kuna haja ya honeymoon kama mmeisha kuwa na mtoto au mwenza wako ni mjamzito, mimba ya miezi mitatu?.....endapo kama u special wa u/honeymoon wanaoongelea baadhi yetu hapa ni kumtungua kwa mimba?
 
hahaha i donno these ppl yakhe....

I thought the best thing about honeymoon is being together away from ppl... Be on your own completely...no telephones, no watches (like u should sleep early so u can get up early the next)....
 
Kwahiyo Noname wapi kufanyia honeymoon inategemeana na uwezo wako, mahari ulipo, etc?
 
Kwa wale wasio na uwezo wa kifedha, ambao harusi hawajafanya ila ndoa wamefunga, baada ya ndoa kufungwa kanisani wanahitaji honeymoon wakafanye.....lakini hawana hela ya kwenda huko mikumi, huko hotelini, hata nyumba wamepanga...sasa wafanyeje hapo....?
 
honeymoon ni neno la kizungu .............lakini waswahili wana neno linaitwa fungate

fungate inakuwa kwa kawaida ni wiki moja ambayo maharusi wanapewa muda wa kurest...............kwa mila za watu wa mwambao fungate inafanywa katika chumba watakayo kaa maharusi hao, na hupewa mtu mzima mzee hivi wa kuwapikia, fulia, tayarisha chakula n.k

katika kipindi hichi maharusi hualikwa kwa chakula kwa jamaa na marafiki, na wao wanawajibika to look nice and relaxed tu.

ama huna uwezo wa kufanya honeymoon kwa definition ya kizungu waweza fanya fungate ya kiswahili...........raha jipe mwenyewe :)
 
Nimekuelewa mkuu...maana wengine hata chumba tumepanga, udereva haulip, unapata laki 1, wife anauza ubuyu shule ya msingi...sasa kuchukuwa gari ofisini inatakiwa ulipie, kuchangia za wengine hatuwezi...na siku hizi wala hawatuletei kadi....ngoja tufanye hiyo fungate ila kwa wiki moja, boss atakubali kweli?....
 
Kwahiyo Noname wapi kufanyia honeymoon inategemeana na uwezo wako, mahari ulipo, etc?
kweli kabisa...inategemea uwezo wako..ila mahali inaweza kuwa popote!!! muhimu ni kuwa wawili....bila kusumbuliwa na watu....
 
honeymoon ni neno la kizungu .............lakini waswahili wana neno linaitwa fungate

fungate inakuwa kwa kawaida ni wiki moja ambayo maharusi wanapewa muda wa kurest...............kwa mila za watu wa mwambao fungate inafanywa katika chumba watakayo kaa maharusi hao, na hupewa mtu mzima mzee hivi wa kuwapikia, fulia, tayarisha chakula n.k

katika kipindi hichi maharusi hualikwa kwa chakula kwa jamaa na marafiki, na wao wanawajibika to look nice and relaxed tu.

ama huna uwezo wa kufanya honeymoon kwa definition ya kizungu waweza fanya fungate ya kiswahili...........raha jipe mwenyewe :)
this is new to me.. thanks for sharing...
 
Back
Top Bottom