Nasikia jamaa wa Kichaga kaweka pesa benki, kisha akamfata meneja na kumuomba kazi ya ulinzi, kuulizwa sababu, akajibu kuwa kafungua akauti, kwa hiyo anataka kulinda pesa yake.