Ngongoseke
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 3,202
- 1,464
Ukitayarisha pesa ya kutukomboa mimi na mpenzi wangu toka mikononi mwa al shabab tutakusindikiza.....
mimii i i i
Au ndiyo mbinu mpya ya Alshabab kuongeza wapiganaji wapya? Lol!
Kwenda kulipuliwa.....nenda tu kwenye mabomu moon.
kuna tangazo nimeona leo hii kwenye gazeti la mwananchi kuna
wanandoa kutoka kenya walikuwa wanakwenda z kwenye fungate
wamepotea hadi leo hawajulikani waliko. angalia na wewe usituletee matatizo hapa jf.
aiseee! unamuita zirail mwenyeweeeeee!