Honey i miss my days

Honey i miss my days

Kamanda Kazi

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2012
Posts
2,613
Reaction score
798
Siku ya kwanza atakuja na chupi 2,moja anaifua anaacha bafuni,nyingine anavaa asubuhi anaondoka...
Siku ya 2 anakuja na khanga,anaivaa usiku,asubuhi anaianika nyuma ya mlango anaondoka...
Siku ya 3 anasahau pete na hereni juu ya meza anakwambia 'Hny nitunzie nimesahau hereni zangu mezani'
Siku ya 4 anakuja na nguo 2 na vipedo vya kubadilisha na viatu pea 2,anavua high heels anaweka kwenye Shoe rack,asubuhi anaondoka na flat shoes kwenda chuo..
Baada ya mwezi chumba chako kinakuwa na vitu kadha wa kadha,na ole wako uvihamishe alipoacha,kesi zinaanza...Hao ndo Wanawake wa kileo,akija na begi zima si utamuuliza Vipi mwenzangu na utamkimbiza...Anahamia taratibu..Mwisho wa siku dressing table yako iliyokuwa ina perfume na mafuta ya Rays inakuwa imejaa hereni na 'Foundation'...My Brother,huna haja ya kuuliza,NDO KASHAHAMIA HUYO....Kifuatacho utaambiwa,''Honey I miss my days',Zamani nilijua ni Simu za mkononi tu ndo zina Missed Calls,Siku hizi kuna Missed days,ukiambiwa hivi tu jua imekula kwako,inawindwa ndoa....WANAUMEEEEEEEEEE,Mpoo??Msiseme sikusemA!!!!
 
Aisee nimecheka sana dah,thanx mkuu!
 
Aaah aah aah. As if in ma mind. T happened...twice and this third time, dah how wil I solve dis?still network searching ...
 
ehehhehhe mi mwenzio tunahesabu wote nikimiss anajua tu BINGOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO!
hakuna haja ya kuanza oh honey unajua sijui nini lol!
Wengine wanahesabu na vidole lakini kila mwezi kitu kinatinga bila kutarajia.... Na nyie wa mavodka hamnaga cha kuhesabu wala kuhesabiwa... Kuna wakati huwa mnadai hata muda wa juani..
 
Hahahahahahaaa honey i miss my days!!!!!!
Wadada wamujini wanambinu kah!
 
Wengine wanahesabu na vidole lakini kila mwezi kitu kinatinga bila kutarajia.... Na nyie wa mavodka hamnaga cha kuhesabu wala kuhesabiwa... Kuna wakati huwa mnadai hata muda wa juani..

AHAHAHAAHHAHAH !mi nshavuta hizo stress za kuhesabu i see!
yani kanyaga twende!
uuuuwih speaking of it hebu nirudi zangu home mie!
 
Hahahahahahaaa honey i miss my days!!!!!!
Wadada wamujini wanambinu kah!
Na vipima joto vyote hivi..??? Mi ukinimisisha siku zako tu, nakuvizia asubuhi nakudai mkojo wa kwanza ambao si wa uzazi (maana hamkawii kuuliza), natumbukiza kipima mtoto...... Karne hii kulea matambala ni kujitakia tuu....
 
Ndio dawa ya wanaume wanaosuasua kutangaza ndoa, Mara "ngoja nijipange", "ngoja nimalize digrii ya 2 nisijichanganye na mambo mengi nifanye moja kwanza", "ngoja biashara zikae vizuri", "nimalize nyumba tukifunga ndoa tuwe kwenye nyumba yetu","nangoja kauli ya wazazi".......!
 
Back
Top Bottom