Honda mpya,ACEX ,cc125 inauzwa,bei mil 3.2

ntakisigae

Senior Member
Nov 26, 2013
177
58
Honda hii imesajiliwa na nyaraka zote zipo.
Bei ni mil 3.2, maelewano kiasi yapo kwa atakaye serious.Pikipiki ipo Mkuranga mjini.
Kwa mawasiliano zaidi, nitumie ujumbe kwa 0657011122.Ujumbe utafaa zaidi na mimi nitakupigia au ni pm.
Sihitaji dalali tafadhali.
Angalia picha na specification za hiyo pikipiki hapo.
Karibuni !
SIMU: 0657011122(ujumbe utafaa zaidi)
 

Attachments

  • HONDA.pdf
    384.5 KB · Views: 82
Back
Top Bottom