House4Sale Nyumba Inauzwa Kigamboni Mikwambe Mil 60

Kahtan Ahmed

JF-Expert Member
Aug 24, 2011
755
468
Asalaam alaikum,

Napenda kuwatangazia kua nina nyumba nauza kigamboni mikwambe yenye sifa zifuatazo

. Nyumba ipo kigamboni Mikwambe
. Nyumba ya pili toka barabara kuu ya lami ya kigamboni
. Nyumba ina vyumba vitatu wiwili masters
. Ina Dining, sitting room, jiko na public toilet, parking
. Kiwanja kina ukubwa wa sqm 320
. Nyumba ina fance kote na geti
. Bei mil 60 maongezi yapo
Kwa mawasiliano zaidi 0762987034
Asanteni Sana

IMG-20220106-WA0008.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom