Supermind
JF-Expert Member
- Apr 22, 2018
- 259
- 245
Wanajamvi, hii gari naipenda mpaka naumwa. Maana inaitwa Honda Crossroad a.k.a SMALL HAMMER. Naombeni ushauri wakuu kabla sijaingia mkenge. Ndo nataka nimiliki gari kwa mara ya kwanza. So, naipenda sana hio gari kimuonekano. Vip kuhusu spare zake, uimara, confotability, inshort nahitaji details zake kiujumla.
Nasubiri kwa hamu ushauri wenu.
Nasubiri kwa hamu ushauri wenu.