Spare parts Honda Crossroad

Ibnuyawar

Member
May 6, 2020
49
149
Habar maboss poleni majukumu

Spare za honda crossroad zipo dukan kwa sasa

Nimeshusha 100pcs za shock up mbele jana na mpaka sasa zimebakia 20pcs nunua weka akiba kwa ajili ya gari yako maana zikiisha upatikanaj wake mgumu

Kyb japan katoa lakin kazikosea juu kweny shaft mpaka upeleke engineering ukarambe kidg

shock up za mbele
Stabilizer bush
Air cleaner
Break pad
Bush zake

0653527433

Fika dukani ujionee
 
Kwani si unaagiza tu online unaletewa baada ya siku 3 mpaka 5
 
Extrovert nasikia gari yake imeua shock up “shokapu” za mbele zote, aje kununua
 
Back
Top Bottom