Gari Honda CR-V inauzwa bei poa

Gari Honda CR-V inauzwa bei poa

Poxino

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
727
Reaction score
53
Gari lipo dar es salaam kigamboni
halinatatizo lolote
model honda cr-v
kilometer 100,000 limemetembea
year 1998
cc 1570
air bags 2
transmission auto
fuel petrol

bei 5.6mill (maelewano yapo)
kwa mawasiliano 0712690760 au 0755984282
 

Attachments

  • d03cb29de44cd362e78e0e4d941b7660FS.jpg
    d03cb29de44cd362e78e0e4d941b7660FS.jpg
    10.1 KB · Views: 298
  • 5bbdae5278649a2931fab437df84341fFS.jpg
    5bbdae5278649a2931fab437df84341fFS.jpg
    12.1 KB · Views: 264
  • c71b007bd9a75033cb3ae93636591bf7FS.jpg
    c71b007bd9a75033cb3ae93636591bf7FS.jpg
    12.5 KB · Views: 260
Poxino, wewe sio mgeni humu
Ila umenikera kitu kimoja kamanda.

Hii gari ni nzuri ila umepiga picha kama vile unaenda kufumania ukweni.
Gari chafuuuuuu,yaani kama ingeoshwa then ikapigwa braso,kaka ingevutia kweli.
Humu kuna watu wanapiga picha gari unaona kama mpya kumbe kaiosha tu.Sasa kw ajinsi ilivyo na hiyo ni gari ya mtu binafsi inatia hofu juu ya utunzaji wake wa gari.Unajua matunzo ya gari yanaanzia kwa muonekano wa nje.
Yaani ukiona mtu hata kuosha gari ni sheeda,basi jua hata services zake ni shida pia hadi gari izime ndio afanye service.

Bei ni nzuri kwa gari hiyo,
Ila ombi langu ni kwamba kaoshe gari kisha uje na picha upyaaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom