Honda 250xlr/xr/r wanted

Honda 250xlr/xr/r wanted

Lazmas

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2010
Posts
561
Reaction score
111
Nahitaji pikipiki used ya 250cc na ikiwezekana iwe ni Honda. Nipo serious.
 
Kwanini uhangaike au hujasikia jk kaenda Kwa wajepu na wamemuambia wanakuja kujenga kiwanda kabisa cha pikipiki wameona watanzania tunapenda sana Pikipiki..... ila Kenya Tayari kiwanda kimeshafunguliwa na kishaanza kuzalisha pikipiki za Honda... unaweza agiza bei ni poa sana... 250 zipo
 
Mkuu hiyo bei hata kama ni poa sidhani kama itapungua mil 10.
 
Hapana pikipiki ni bei rahisi sana kama hujui.... na sababu wanajua waafrika ni watu wa bei poa hivyo hawana la kufanya zaidi ya kupunguza bei tu... zitakuwa kama hizi bei za kawaida tu hawawezi zidisha m4 kwahiyo 250
 
Mkuu, Yamaha AG 200cc inauzwa mil 10.4, bei ya show room. We unasema bei haitazidi mil 4?
Honda Trail 110cc bei yake show room unaijua? Sio chini ya mil 8!
 
Mbona unaleta tena habari ya Kampuni nyingine.... Wenyewe ndio wamesema watafungua kiwanda na watatengeneza pikipiki bora na bei itakuwa ni affordable kwa Waafrica.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom