Dotto C. Rangimoto
JF-Expert Member
- Nov 22, 2012
- 1,985
- 1,286
Da, huyu jamaa SIFURI kabisa...
Kiongozi ni mtu yeyote anayekubalika katika jamii
Pamoja na Phd alizonazo Kikwete, lakini hajui kwa nini watanzania ni masikiniYaani CV ya mwenyekiti wako ni SIFURI kiasi kwamba unaona aibu ikiwekwa jukwaani!!!
Mzee Mwinyi alikuwa na elimu ya madrassa tu akaongoza taifa. Elimu ya kufugia majini ya Mwinyi hamkuiona hadi mnamshambulia Mbowe?
Yaani CV ya mwenyekiti wako ni SIFURI kiasi kwamba unaona aibu ikiwekwa jukwaani!!!
Yaani CV ya mwenyekiti wako ni SIFURI kiasi kwamba unaona aibu ikiwekwa jukwaani!!!
Wakuu tujadili mambo ya muhimu kama mfumuko wa bei, madawa ya kulevya, kushuka kwa elimu, huduma mbovu hosptalin, ardhi, ufisadi, madini, mikataba feki nk, hivyo tuachane na CV za watu makamanda kwan sio agenda ya msingi kwa sasa.
Ndiyo maana wanaitolea katiba mpya machozi. Ana haki ya kumwogopa msomi Zitto.
Kwa hili namtetea,
Mbowe ana akili sana kuliko ma professors na mdokta kibao, ndio maana anawaongoza na wanamwogopa sana
Elimu sio nguvu au kipaji cha uongozi. Tatizo la Mbowe ni akili ndogo ambayo ina uzoefu wa kuongoza kumbi za disko tu na anafanya makosa kutumia uzoefu wake wa disko kwenye siasa
Mzee Mwinyi alikuwa na elimu ya madrassa tu akaongoza taifa. Elimu ya kufugia majini ya Mwinyi hamkuiona hadi mnamshambulia Mbowe?
Ni kilaza ile mbaya.
Na wengine wanaukana hadharani ilhali mifukoni mwao wanabeba unga mwekundu kuondoa uhai wa wapinzani wa mabwana zao.Siku hizi tuna wasomi wasioamini katika kukabiliana na changamoto kwa mbinu za kisayansi badala yake wanajivunia ushirikina hadharani
Hebu weka ya kwako ya Ugariba halafu na Mke wake mbowe aweke ya kwake usipoingia mitiniDa, huyu jamaa SIFURI kabisa...