Homosexuality

Sasa mbona UN wanataka kupitisha mswada wa *******? Mimi sielewi nabaki na taharuki. Hawa wazungu hawa!
 

Siwezi kupoteza muda wangu adhimu na watu wenye vichwa vigumu kama wewe. Hebu tafuta kwenye hii thread, unioneshe ni wapi nimekubaliana na ushoga..Ukiweza hilo nitakupa test nyingine ndogo ya kukuza uelewa wako..
 
Wengi utetea...! Tabia na Matendo wanayo yapenda...!
 

Homosexuality haiwezi kuwa dhambi kama isivyo heterosexuality. Ila homosexuals wanaweza kutenda dhambi kama wanavyoweza kutenda heterosexuals. Hii topic ni technical. Usituletee 'value judgement' yako katika hili kwa vile huja'define' tukaelewa what you're condemning.
 
Last edited:

Sasa wewe unapinga Homosexuality au unapinga anal sex? Kwa mantiki hiyo hauna tatizo na Lesbians? Pia hautakua na tatizo na homosexuals ambao hawapractice anal sex?
Mimi view yangu ni watu wanachofanya wakiwa kitandani is NON OF MY BUSINESS!! Live and let Live!
 
huyo anaonekana ni shoga. umelaaniwa wewe unayemruhusu mwaname mwenzio akuingilia kwenye mavi. huna akili na siku zenu zimehesabiwa. either mtakufa kwa ukimwi, au mtaungua moto wa milele.
 

Kwa wale tunaoamini Mungu, na hivyo kuheshimu his sovereignty katika uumbaji na matumizi ya kile alichokiumba, nadhani kusema kuwa binadamu amekuwa mbunifu zaidi hivyo Mungu aharakishe kubadili matumizi.. ni chukizo la hali ya juu( abomination of the highest order!)....
swali- je katika kubadilisha huko ambako itabidi labda hivyo viungo vibadilishwe kimfumo, what will be the cut off point ya wale walio kwenye mfumo wa zamani na wale watakaokuwa kwenye mfumo mpya? Je binadamu atakuwa na utashi wa kuweza kutambua au ndo itatokea balaa la kushindwa kuelewa na kuhusisha maumbile mapya na congenital malformation?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…