Homoepathy treatment | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Homoepathy treatment

Discussion in 'JF Doctor' started by Modereta, Dec 10, 2009.

 1. Modereta

  Modereta Senior Member

  #1
  Dec 10, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 163
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Can someone please educate me on homoepathy treatment, origin and effectiveness
   
 2. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #2
  Dec 10, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,574
  Likes Received: 18,511
  Trophy Points: 280
  On orgin just google it, efectiveness is subective, works well with some who have faith in it, doesen't to some.I can testify on the magic of water, water therapy controll weight and makes one heathier and more energetic, hot and cold shower rejuvanate the body instantly. Kama una mafua ya kutiririsha kamasi, unaweka vicks vapo rub kwenye birika ya maji moto, unavuta mvuke just for five minutes, mafua yanakauka na kupona moja kwa moja.Kama una maumivu ya viungo, unakandwa na maji moto. Baada ya uzazi, wazazi wanakandwa maji moto, tumbo linarudi fresh. Kama una maumivu ya mifupa, internal pain, unaweka maji moto kwenye hot water bottle, unalaza chupa mahali panapouma, maumivu yanaondoka.Kama una depresion, usongo wa mawazo, hasira, donge, ama umeboreka, unakwenda popote kwenye running woter, kama mto, ziwani au baharini, by just sitting there and watching the running water, hasira zinayeyuka, donge linaisha, mawazo yanapungua etc. unapata kitu kinaitwa serenity, ukitoka hapo unakuwa fresh zaidi.Yule Mwanajeshi wa enzi zile aliyejulikana kwa jina la Power Mabula, akielezea siri za power zake, anasema mama yake alishikwa uchungu wakati wa masika akiwa porini, akajifungua wakati mvua inanyesha huku jua linawaka, hivyo akiwa kichanga alilowa maji baridi na joto la jua. akapata nguvu za ajabu kama simba.Wachina wanatengeneza water babies, vitoto vinavyoelea kwenye maji kama bata maji, kwa kuviweka kwenye bwawa la maji mbaada tuu ya kuzaliwa, hivyo vinaelea moja kwa moja na kwenye maji kwao vinakua kama ndio home.Haya mambo ya homoephathy yana ukweli halisi ndani yake kuwa tunaharibu miili yetu kwa kile tunachokula. Fanya utafiti utagundua mavegetarians, wanaonekana younger than they really are, mzee wa miaka 80 anamwili kama wa miaka 60. Sasa kuna kundi jipya linaitwa 'fruitarians', hawa wanakula matunda tuu na hawazeeki, na kuna kundi la ajabu kabisa wanajiita 'breathtarians' hawa wanakula hewa tuu na maji, wamekondeana kama mifupa, ila wanadai hawafi!, yaani wanaishi kwenye 'life before life' na 'life after life'walikuwepo, wapo na watakuwepo.
   
 3. Modereta

  Modereta Senior Member

  #3
  Dec 10, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 163
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Ahsante mkuu, ningependa zaidi experiences, nime google na nimepata ufahamu kiasi fulani. ila nimeongea na watu waliotumia wakaniambia imewasaidia, ila sasa kama ulivyosema ningependa na walioexperience negatively. Ahsante
   
Loading...