taja vijiji/vitongoji vitano vya eneo unaloishi. kwa kuanza
1 - Nyang'olongo
2 - Nyamhongolo
3 - Nyang'homango
4 - Nyabulogoya
5 - Nyakurunduma
hivo vyote vinapatikana ndani ya jiji la mwanza aka rock city. . . . .
bisumwa,
kamunyonge,
mwisenge,
nyamatare,
bukanga,
kemoramba,
nyabange,
rwamulimi,
baruti,
kibini,
kiara, etc.
duh,upo juu!
tanga kunani pale e e e!
- sahare
- tangamano
- chumbageni
- majani mapana
- barabara ya 1 mpaka ya 12!!!!!
Haaaa we bora uhamie huku tu maana inaonekana unapajua saaaana tu, ila umesahau kule ninapoishi mimi "Makoko"-nyasho
- nyegina
- buhare
- makoko
- bweri
hapa namsaidia M'Jr kutaja vitongoji vya huko kwao musoma
dah hapa umenigusa...nimekaa sana pande za Majani mapana na Chumbageni...
Ngoja niongezee
Mwakizaro
Duga
Kisosora
Mabanda ya papa
Sahare
Raskazone
...............
...............
mwakidila, mwamboni, majani mapana, chumbageni, mabawaMikanjuni,Mwahako,Donge,Magaoni,Nguvumali,Kange,Kwa michi,Msambweni,Makorora,Kirare,Mabokweni...Tanga hiyo.
Haaaa we bora uhamie huku tu maana inaonekana unapajua saaaana tu, ila umesahau kule ninapoishi mimi "Makoko"
Hujambo lakini charminglady