nimewahi kuuliza, na nauliza tena, nini vigezo vya mwanamke kuwa ni mzuri?
je ni rangi yake? ( white or black)
je ni wembamba au unene?
je ni makalio makubwa?
Nimeona picha nyingi zinazosemwa kuwa ni wanawake wazuri vigezo vinavyotumika ni Rangi nyeupe, makalio makubwa, nywele ndefu za singa(?) warefu. JE hivi ni vigezo sahihi vya uzuri wa mwanamke?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.