Are you serious?...namiss sana pilau especially lile la wakati wa iddi hata unawe mikono vipi harufu mkoni haiishi na siyo unalila kwa kutumia kijiko oloo no...maana linafaa kwa kutumia mikono...i miss that so much.
Au nyama choma za pale maryland karibu na kituo cha ITV....Sijui kama hii sehemu bado ipo...wana guest house nilimuona mshikaji mmoja anatoka humo ndani i was like whaaaat?-π
Au nyama choma za pale maryland karibu na kituo cha ITV....Sijui kama hii sehemu bado ipo...wana guest house nilimuona mshikaji mmoja anatoka humo ndani i was like whaaaat?-π
Jina limenitoka pia ila naifahamu hiyo sehemu kwa kupita tu.
Inawezekana huyo mshkaji alikuwa anatoka msalani au kumuona mtu ambaye kafikia hiyo guest house.huh!
Ila ukionekana unatoka gh halafu wewe ni mkazi wa dar watu wanashtuka π